Te Lavista
JF-Expert Member
- Mar 12, 2017
- 1,626
- 2,846
- Thread starter
- #181
Si nilisha mtaja tayar na nimesha...Inamaanisha umeshindwa mwambia umpendae,umeishia kuipenda pikipiki yako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si nilisha mtaja tayar na nimesha...Inamaanisha umeshindwa mwambia umpendae,umeishia kuipenda pikipiki yako
Nitajitahid yaweza kua ni wew
Una uhakika mkuu au unataka zipige kelele ili usikie
Unamjua vema miss chagga? sio mdada wa mchezo mchezo naamanisha uhakikishe, una mapene sio mtu wa chips yai huyo, jipange sawa sawa ki fedha, hahahahahahahahaahahahaahaha
Unamjua vema miss chagga? sio mdada wa mchezo mchezo naamanisha uhakikishe, una mapene sio mtu wa chips yai huyo, jipange sawa sawa ki fedha, hahahahahahahahaahahahaahaha
Aisee nimepata picha huyu Chaga girl simuwezi kabisa bahati nzuri sio yeye ninaye mtakazinzao piaga kelele siyo.
Nabhonye kabisa. Ndamulese sindamugomba kandihaya sasa niliyokuambia yanatimia hahahahaha:
vizuri kila la kheriAisee nimepata picha huyu Chaga girl simuwezi kabisa bahati nzuri sio yeye ninaye mtaka
Halafu mwenyewe kashajileta humuvizuri kila la kheri
mbananishe basiHalafu mwenyewe kashajileta humu
Bora umejijua, huyo sio wa mchezo mchezo!Aisee nimepata picha huyu Chaga girl simuwezi kabisa bahati nzuri sio yeye ninaye mtaka
Kaingia naspeed 360 kwenye matuta. Mm simuweziBora umejijua, huyo sio wa mchezo mchezo!
Minilisha msoma huyu RayyoungrMtoa Maada ni SHOGA
Ona majibu yake sasa....[emoji34] [emoji34]Mtoa Maada ni SHOGA
Halafu wewe hua nakuheshimu toka zamani so usijivunjie heshima yako
Kwani kumuheshimu mtu ni ushoga au unataka ligi hadi hukuOna majibu yake sasa....[emoji34] [emoji34]
njia ya mwongo......!!![emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Kwani wewe una muda mrefu hapa JF si umeingia juzi juzi tu sasa ni kipindi kipi ulimuanzishia huyo dada uzi? uzi huo ulihusu nini na ulikuwa wa lini?
Nimejikuta napata maswali mengi yasio na majibu.....Sio rayyoungry huyu I'd yake amepewa ban
Shemela potezea hayo bwana usimwage kuku kwenye mchele wengi
Nazidi kuunganisha dot....Sio rayyoungry huyu I'd yake amepewa ban
Naendelea kujiridhisha sasaShemela potezea hayo bwana usimwage kuku kwenye mchele wengi
sawa shemela hilo jina wanajua huyo mtu
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]There are three things which are infinite in the we live
1. Universe
2. Stupidity
3. Poverty
Taken what bibiealready taken huyoo
sio yeyeNazidi kuunganisha dot....
Naendelea kujiridhisha sasa
basi komaa alisema alidhani we ni yule shoga.. haya kila la kheriKali huyo balaa hebu msome post [HASHTAG]#169[/HASHTAG]