Te Lavista
JF-Expert Member
- Mar 12, 2017
- 1,626
- 2,846
- Thread starter
-
- #341
Cc. MahondawHaa haa hayaa
Me mzma kabsa buher wa
Afya hof kwako tu ulie
Mbali na macho yang madam
Zidisha upendoKashanipiga mipasho duuh. All in all nampenda
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Aiseee me nlifkiri masharobaro
Wa jf wameigilia jf
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Akwendeeee!!! Mwanaume mpaka ana account Jf anakuwaje domo zege
Hahaaa! Ushemeji umeuweka pembeni kwanza.tehehehe dear usawa huu bila hapana hata kama ni shemeji yangu
Yaani hiyo id inafaa iitwe na waziri wa afya[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Aiseee me nlifkiri masharobaro
Wa jf wameigilia jf
HeheheSure my boy mimi sio mond bin Ray am Rayvanny boy.
Usijali mi mzima. PamojaHaa haa hayaa
Me mzma kabsa buher wa
Afya hof kwako tu ulie
Mbali na macho yang madam
Akili sukuma moyo, moyo sukuma damu nizidi kumpenda FulaniZidisha upendo
Hahaaa! Ushemeji umeuweka pembeni kwanza.
Haya Ray van Boy fanya fanya Clkey ndiyo huyo keshajitolea
Ngoja nimwite rafiki yangu Numbisa aje kunipa ushauri
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
We jidanganye siku zote hela hazitoshagiMnanijulia mfuko wangu nyie mabinti. Any way sina hela sana ila zipo za kunitosha mm na yeye
Kaenda tigo pesa kukopa kwanza hahahaha si unaona kimyaHahaaa! Ushemeji umeuweka pembeni kwanza.
Haya Ray van Boy fanya fanya Clkey ndiyo huyo keshajitolea
Situmii tigo tafathari thaniKaenda tigo pesa kukopa kwanza hahahaha si unaona kimya
HeheheAkili sukuma moyo, moyo sukuma damu nizidi kumpenda Fulani
Amekuja umemuonaWe jidanganye siku zote hela hazitoshagi
[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji18] [emoji18]Akili sukuma moyo, moyo sukuma damu nizidi kumpenda Fulani
Hahahaa! Lazima kiwe na mshindo aisee hivyo anza maandalizi mumyKaenda tigo pesa kukopa kwanza hahahaha si unaona kimya
Iceman 3D jamani Kapotelea wapi tena!!! Sijamsoma siku tano hizi mjue
Hahahaaa! Umemuita kiaina eee. LoolAmekuja umemuona