Msaada jamani, kuna mdada nimempenda humu JF lakini nashindwa kumwambia

Msaada jamani, kuna mdada nimempenda humu JF lakini nashindwa kumwambia

Maandalizi bado mapema mnooo, maana sijui hata huyo mlengwa yukoje waweza mkuta ni wa matawi halaf shemej yangu akawa na hela ya mihogo tu
Daah! Umewaza mbali aisee mana keshaanza kusema ana hela yake na ya huyo ampendaye pekee.

Tulia mwaya shoga angu
 
Helooooo Jf
Aise toka nimejiunga juzi humu jf nimemuona humuu daa hatarii.
Kanivutia sana nimempenda sana.
Tatizo ni kitu kimoja mimi ni domo zege sana
Daah kaniteka ubongo wangu mimi, sioni raha kuwa Jf bila kumtext yeye. Nampenda sana.
Nampenda ila nashindwa kumuambia yaani hata kumtaja nashindwa.
Tafadhari sana nishaurini nifanyaje wakuu, nategemea msaada wenu.
By mgeni kutoka Fesibuku
Rayvanny
Usione soo sema nae
 
Iceman 3D jamani Kapotelea wapi tena!!! Sijamsoma siku tano hizi mjue
Nafkir wakat mods wanashusha
Rungu kwang nae alipatkana
Maana nlikua nae jukwaa moja
Wakat napatana na rungu la
Invisible
 
Msalit huyu ID mpya anataka na baby mpya
Nawasubr tu hawa wengne waje
Tuanze maandamano ya kwenda
Kusaka shem wetu huyu alie andikiwa
Huu huz

Sakayo,numbisa,emmyta
Watakua washaur nasaha
Wakwenda kumshawishi huyo
Shem ili akubali
 
Back
Top Bottom