Kuna mtu nahisiiiiiiiiiiiii kama yy vile ,anyway ngoja nizidi kutoa machoYupo humu humu shem wewe kagua vzr utampata
Daah! Umewaza mbali aisee mana keshaanza kusema ana hela yake na ya huyo ampendaye pekee.Maandalizi bado mapema mnooo, maana sijui hata huyo mlengwa yukoje waweza mkuta ni wa matawi halaf shemej yangu akawa na hela ya mihogo tu
Usione soo sema naeHelooooo Jf
Aise toka nimejiunga juzi humu jf nimemuona humuu daa hatarii.
Kanivutia sana nimempenda sana.
Tatizo ni kitu kimoja mimi ni domo zege sana
Daah kaniteka ubongo wangu mimi, sioni raha kuwa Jf bila kumtext yeye. Nampenda sana.
Nampenda ila nashindwa kumuambia yaani hata kumtaja nashindwa.
Tafadhari sana nishaurini nifanyaje wakuu, nategemea msaada wenu.
By mgeni kutoka Fesibuku
Rayvanny
Nipo my nakusaidia wacha tutoe tu macho tuoneKuna mtu nahisiiiiiiiiiiiii kama yy vile ,anyway ngoja nizidi kutoa macho
Aiaeeee!! Usnitaftie ban ya piliMnanijulia mfuko wangu nyie mabinti. Any way sina hela sana ila zipo za kunitosha mm na yeye
Au ww nn aiseee ,usije ukawa unanichora kama BashiteNipo my nakusaidia wacha tutoe tu macho tuone
Kama ulijua yanHapa kakosekana Saint Ivuga tu
HeheheEmmyta, sakayo na Shem Clkey mkalisheni chini mumueleza maana ananitesa mtoto wa watu
Emmyta, sakayo na Shem Clkey mkalisheni chini mumueleza maana ananitesa mtoto wa watu
hahahh sio mm my wiiHahahahaha nakuona mai wiiiiiiiiiiiiii isije ikawa ni ww
Nawasubr tu hawa wengne waje
hahahaha nikahisi ww ma wiii,mekumiss kule jamani mai wiii utarudi linihahahh sio mm my wii
KoHehehe
Ndo ujiulize sasa
Bibie unataftwa kama shiliingi[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji18] [emoji18]
Nafkir wakat mods wanashushaIceman 3D jamani Kapotelea wapi tena!!! Sijamsoma siku tano hizi mjue
Nawasubr tu hawa wengne waje
Tuanze maandamano ya kwenda
Kusaka shem wetu huyu alie andikiwa
Huu huz
Sakayo,numbisa,emmyta
Watakua washaur nasaha
Wakwenda kumshawishi huyo
Shem ili akubali
hahahah sio mm huyo shemela wangu ntarudi kule my wiiihahahaha nikahisi ww ma wiii,mekumiss kule jamani mai wiii utarudi lini
Kama alipatikana na modsYaani hua wakiwa hawapo hao watu najihisi mpweke sana. Ila usser yupo Iceman ndio kapotea toka alhamis
Walaa! Mtoto sana huyooAu ww nn aiseee ,usije ukawa unanichora kama Bashite
mlifanya nnKama alipatikana na mods
Nafkir ataachiwa kesho
Maana me nmeachiwa leo
Kutoka hyo Thursday
Mi niko tayari nawasubiriaNawasubr tu hawa wengne waje
Tuanze maandamano ya kwenda
Kusaka shem wetu huyu alie andikiwa
Huu huz
Sakayo,numbisa,emmyta
Watakua washaur nasaha
Wakwenda kumshawishi huyo
Shem ili akubali