Nguvu za kupigananguvu gani unazozihitaji... ujue mwenzako moyo wangu unakusukuma kwa sasa hausukumi damu tena
kakizidisha kukuganda unaacha kunyoa kama miezi mitatu afu unakapeleka chumvini..katakona na hakatakutafuta tena... tutaanzishiwa tu thread hapaSijui kamekunywa viroba vya wapi
Mbona alikuwa anamuita kutaka ushauri sasaNdio hivyo eti katusumbua wee.
Wavulana hawa.
nimempa kibendi ...
Hajanivunja moyo bado sijaonaHivi unamjua, mbona umemdogoisha hivyo
Hahahaa! Mi simoNa kweli unampenda mpaka watuona na sie wanaume wenzako
Alikudanganya ili usitupemo ndoana[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Oleleeeeeeeeeee mondray
Kutusumbuaaa kooteee
Kumbe unammendea bibie numbisa
Alaf c ulishanambia kuwa huyu
Numbisa n dada yako the the
Nyie mtakuja kutoana machonimempa kibendi ...
Mbona tayari umeshamwambia mbele ya jamii inamaana hapo umulize kama amekukubaliHelooooo Jf
Aise toka nimejiunga juzi humu jf nimemuona humuu daa hatarii.
Kanivutia sana nimempenda sana.
Tatizo ni kitu kimoja mimi ni domo zege sana
Daah kaniteka ubongo wangu mimi, sioni raha kuwa Jf bila kumtext yeye. Nampenda sana.
Nampenda ila nashindwa kumuambia yaani hata kumtaja nashindwa.
Tafadhari sana nishaurini nifanyaje wakuu, nategemea msaada wenu.
By mgeni kutoka Fesibuku
Rayvanny
kwa hahaha ha a bwa ha aha hha aaa,...... uusser .. huwezi kushindana na mimi mtoto karudi kwangu ila hataki kukuambia ni siri yangu mm na yeyeHeeee!!! Bibie unajua vle moyo
Wang umelazwa kwako!
Ustake kunipeleka icu please
Si litakuwa tangazo humukakizidisha kukuganda unaacha kunyoa kama miezi mitatu afu unakapeleka chumvini..katakona na hakatakutafuta tena... tutaanzishiwa tu thread hapa
Hahahaaa!Shogaa unashadadia mpaka
HahaaaHalafu unapenda kumtia ndimu ujue
Mdogo wangu huu ukuwadi umeuanza lini?hawezi mwambie akublock sbbu hiyo we anza kwanza kumuweka karibu mzoee kila mda una mtext badae ukiona kakuzoe unamfungukia
Nategemea ushauri wako bossAisee..
Hata sielewi shemKwanini eti