Msaada jamani, kuna mdada nimempenda humu JF lakini nashindwa kumwambia

Msaada jamani, kuna mdada nimempenda humu JF lakini nashindwa kumwambia

[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]


Oleleeeeeeeeeee mondray
Kutusumbuaaa kooteee
Kumbe unammendea bibie numbisa

Alaf c ulishanambia kuwa huyu
Numbisa n dada yako the the
Alikudanganya ili usitupemo ndoana
 
Helooooo Jf
Aise toka nimejiunga juzi humu jf nimemuona humuu daa hatarii.
Kanivutia sana nimempenda sana.
Tatizo ni kitu kimoja mimi ni domo zege sana
Daah kaniteka ubongo wangu mimi, sioni raha kuwa Jf bila kumtext yeye. Nampenda sana.
Nampenda ila nashindwa kumuambia yaani hata kumtaja nashindwa.
Tafadhari sana nishaurini nifanyaje wakuu, nategemea msaada wenu.
By mgeni kutoka Fesibuku
Rayvanny
Mbona tayari umeshamwambia mbele ya jamii inamaana hapo umulize kama amekukubali
 
Back
Top Bottom