Wasichana dharau wameziweka mbele
kweli asee,,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wasichana dharau wameziweka mbele
Thanks bro kwenye kumvisha pete utakua kwenye kamati ya ulinzi. Tuko pamoja joooh😀😀😀safi sana hata harmorapa alianza hivi hivi,,lakini nowdays ana-hit mpka MTV. komaa best yangu umchukue mtoto..
Thanks bro kwenye kumvisha pete utakua kwenye kamati ya ulinzi. Tuko pamoja joooh
Tafadhari boss yaani nikupe namba ya kipenda roho changu. Siwez kabisanipe namba yake halafu nimuambie kama unampenda au tupa picha yake na wapi yupo
Haa mi mbona tayari huna habari???
am no longer single mwenzio nishapata wa kumtake care mie sina shida na wahuku
kwanza humu nawaonaga waigizaji tu sijui kwanini
Hiyo sasa kali mkuu duu. Lazima lijaekama kumuambia huwezi akikupa shimo unaweza lijaza kweli
Hahahaahhahahaahahahnahisi wewe utakuwa director wa sisi tunaoigiza humu,,(nawaza tu)..
Yaani! We acha tuKizazi cha Bashite
Woyooooo
Hahaaaaa usiniambie Saint Ivuga kashakunasa tayariLol kumbe mnajuana eee??
usser mambo mengi yule simuwezi
Haya hayaaaaaaAje kabisa maana niko vibaya ajili yake
Hahaa! Usimpe sifa jambo dogo hivyo kaingia katoka weeee mwisho anafunguka😀😀😀safi sana hata harmorapa alianza hivi hivi,,lakini nowdays ana-hit mpka MTV. komaa best yangu umchukue mtoto..
Hivi kweli unampango nimpate rafiki yakoHahaa! Usimpe sifa jambo dogo hivyo kaingia katoka weeee mwisho anafunguka