Te Lavista
JF-Expert Member
- Mar 12, 2017
- 1,626
- 2,846
- Thread starter
- #501
Wanataka mastaaa ngoja ngoma yangu mpya itoke niliyo shutia Hawaii islandcv yake bdo ndogo eeeh
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanataka mastaaa ngoja ngoma yangu mpya itoke niliyo shutia Hawaii islandcv yake bdo ndogo eeeh
Kama kumwambia tu imekuwa shida unadhani itakuwaje huko mbele si utashindwa kusimama kwenye nafasi yako.Mashaka yapi emmy
Umemkolezea kabisa na maandishi ili asipate shida ya kusoma eeeWatoto wa siku hizi bana
Umenipa kaumaarufu mtoto
Kua ee kua bana uje uoe wajukuu zangu
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Wanagombea msichana na Saint Ivuga
Nitaishi nae vizuri kama mwanaume anavyotakiwa aishe na mpenzi wakeKama kumwambia tu imekuwa shida unadhani itakuwaje huko mbele
Raund hii bos hajakupelekaWanataka mastaaa ngoja ngoma yangu mpya itoke niliyo shutia Hawaii island
Hahahaaa![emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Acha kupotosha uma
saint hawez kupta anga zang
Hata kwa dawa
Hajipendi huyu mtuKama kumwambia tu imekuwa shida unadhani itakuwaje huko mbele si utashindwa kusimama kwenye nafasi yako.
Itachukua muda aisee kwani nionavyo kwako sio rahisiNitaishi nae vizuri kama mwanaume anavyotakiwa aishe na mpenzi wake
D kasema J burg haina ishu tenaRaund hii bos hajakupeleka
Jo"burg
hahah ungeyatia rangi nyekundu kabisaWatoto wa siku hizi bana
Umenipa kaumaarufu mtoto
Kua ee kua bana uje uoe wajukuu zangu
Haa ha ha hyo sasa kaliAkaa nataka wapi aibu ya moyoni moyoni mana hutajwi jina ila unajijua hapa nasemwa mimi
KivipiItachukua muda aisee kwani nionavyo kwako sio rahisi
Hahahaaa! Nilimwambia mwanzo atachezea za uso haya sasaHajipendi huyu mtu
Hahahaaa! Nilimwambia mwanzo atachezea za uso haya sasa
mods njoni huku huyu mtu apumzishwe tena hadi next weekHaa ha ha hyo sasa kali
Kama mkamba
Haa haa na kwakujiparua tenaHahaa! Ndio zetu wanawake itakuwa wanamalizia kujipara hao
Hahahaa! Kamkomeshea aiseehahah ungeyatia rangi nyekundu kabisa