Msaada jamani, kuna mdada nimempenda humu JF lakini nashindwa kumwambia

Msaada jamani, kuna mdada nimempenda humu JF lakini nashindwa kumwambia

Umeingia juzi tu tiyari ushampenda mdada na ulijuaje kama ni mdada kwel maana humu jf watu wanatumia majina feki
 
Mtu mwemywe domo zege
Mpaka anatutia aibua wanaume hapa
Sasa anashindwa hata kumtaja
Tu jina wakat co yy anaenda
Kumtongoza
Nimesha mtaja anaitwa Numbisa
you have to fight for what you love....
Kweli kabisa mkuu
Haitoshi ng'ombe ndio kila kitu
Nitampa maboti yetu pale lake Tanganyika
Aishie huko na yeye, nilikuwa namuonaga bonge la mjanja kumbe waapi
Nimemtaja tayari sema lingine
 
Back
Top Bottom