mwita wamkanga
Senior Member
- Jun 22, 2016
- 154
- 64
Dada mm sina wivu na wivu kwa baby wangu tuKo unataka kusema nini na wewe!!! Acha wivu
HeheheNajua fika ila nilishangaa ulivyosema
Nina sura ya babanguJina lako limekaa kiume
Usijali mumy tuko pamojaHehehe
Basi sawa
Hujui tarakimu jamaniTarakimu zipi bibie
Shunie ni ngazi ingineNilikuwa bado sijaling'amua hili, ndio nimelithibitisha leo.
EeehDada mm sina wivu na wivu kwa baby wangu tu
Mimi sijaishi maisha ya kujichanganya sana na watu so maneno mengi ya kihuni au kificho siyajuiHujui tarakimu jamani
Najua sana tuko pamojaUsijali mumy tuko pamoja
Kazi unayo ya kutafuta wanaume sasaNina sura ya babangu
Khaaaa Dada Daby tena yule si nitakufa na huu wivu [emoji134]Eeeh
Umemrudia Daby
Sakayo wawapiNina sura ya babangu
Babu amehusika vipi hapo teh tehNajua sana tuko pamoja
Babu kapotea bhana
Helooooo Jf
Aise toka nimejiunga juzi humu jf nimemuona humuu daa hatarii.
Kanivutia sana nimempenda sana.
Tatizo ni kitu kimoja mimi ni domo zege sana
Daah kaniteka ubongo wangu mimi, sioni raha kuwa Jf bila kumtext yeye. Nampenda sana.
Nampenda ila nashindwa kumuambia yaani hata kumtaja nashindwa.
Tafadhari sana nishaurini nifanyaje wakuu, nategemea msaada wenu.
By mgeni kutoka Fesibuku
Rayvanny
Mbona nimetulia shuuKhaaaa Dada Daby tena yule si nitakufa na huu wivu [emoji134]
Ahsante kwa maelezo mkuuKuna tofauti ya avatar na mwenye avatar.
[emoji39][emoji39]Eeeh
Umemrudia Daby
Keshapita hapa kwangu nshampa salamu zako hivyo usijali punde atatokeaNajua sana tuko pamoja
Babu kapotea bhana