Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,448
Wewe apohahahhah wivu mm au ww dada kwa babu
Emmy ni shogaangu na wewe ni mdogo wangu. Punguza wivu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe apohahahhah wivu mm au ww dada kwa babu
Mawazo hayakwepeki, hasa ukishakuwa na mtu ambaye..., si unajua tenandio mana Dada unakua na mawazo nimeelewa sasa
Huyu Dogo anazigua, bila shaka ni product ya huu uzi Kuna mtu nimemzimikia kaja na ID mpya.hawezi mwambie akublock sbbu hiyo we anza kwanza kumuweka karibu mzoee kila mda una mtext badae ukiona kakuzoe unamfungukia
Unacheka tuu, nini shidaana nn tena Dada
Ni kweli kabisaa, sema uzuri babangu kafanana na bibihahahhahah nimecheka sana we mwehu sna yaan hapo unataka kutisha tu wanaume
hapana huyu n shemela wangu amepigwa banHuyu Dogo anazigua, bila shaka ni product ya huu uzi Kuna mtu nimemzimikia kaja na ID mpya.
hahahhahMawazo hayakwepeki, hasa ukishakuwa na mtu ambaye..., si unajua tena
bas nikajua babu yupo na kwa Emmy unaona sasa ninavyokulindia babu yakoWewe apo
Emmy ni shogaangu na wewe ni mdogo wangu. Punguza wivu
Shemela wako kwa kuiga tuu hajambohapana huyu n shemela wangu amepigwa ban
hahahahh na nina stress acha tu jf inaniliwaza sanaUnacheka tuu, nini shidaa
teh tehNi kweli kabisaa, sema uzuri babangu kafanana na bibi
Hiyo ni ya Lemahahahhah kwa Bashite
Acha kabisaaKumbe ulimaanisha hapa Dada kweli nina wivu ngoja najitahidi niache
hahahhah anaiga nn tenaShemela wako kwa kuiga tuu hajambo
[emoji85] [emoji85]Acha kabisaa
We cheka tuuhahahhah
Aaah wapi, we ulijua nimehamia kwa Emmy bhana. Ko unataka kujiona mjanja siobas nikajua babu yupo na kwa Emmy unaona sasa ninavyokulindia babu yako
Jamani stress za nini tena jamani, mbona wantishahahahahh na nina stress acha tu jf inaniliwaza sana
Kamuiga Husna Ujuehahahhah anaiga nn tena