inawezekana kwakweliBabu huenda ana cha ziada si unajua tena kulea kujali ndio wenyewe.
Umeonaeeeinawezekana kwakweli
Mmh aiseee
Aisee nn hutaki au!?Mmh aiseee
Naamini hivyo, maana hawa vijana ni changamoto zaidiWala sikuuwi shoga angu ndio inavyokuwa.
Labda mzee huyu awe tofauti kwani huwa wanatofautiana tabia.
Ila punguza presha wangu atafika
Hongera kwa hilo pachasawa Dada lkn acha tu siku ipitie tu sitakunywa
HahahaNyamaza ndg utanipotezea dada sasa hiv ataondoka bila kuaga
Najua hilo mdogo wanguNakupenda Dada angu sitaki kabisa uanze kukosa raha
Sio mawili matatu, ni meengiNshanyamaza mumy na sitaki umpoteze mana anakupa mawili matatu ya kiutu uzima
Nipo bhanahahahhh umeona eeenh huyo ndio faraja yangu mwenywe naona kashasepa
mapenzi ya babu si ya nchi hii sijui anampa nn ndg yangu
Huyu mtu ana id ngapi lakiniMmh aiseee
aa shunnie .. uliupenda ulimi wangu kule?Khaaaa jamaaan
kupotezea nn tena dadaHahaha
Shunie unajuaga kupotezea
[emoji8]Najua hilo mdogo wangu
Mie nakuzimia
unikumbatie vizuriShunie,shogaangu Emmy, Numbisa, espy na mashemeji zangu woote mie nawaaga ka ifuatavyo, mlale unono
basi dada nanyamazaNipo bhana
We naona umeanza uchochezi
nawe pia dada keshoShunie,shogaangu Emmy, Numbisa, espy na mashemeji zangu woote mie nawaaga ka ifuatavyo, mlale unono