Msaada jamani, kuna mdada nimempenda humu JF lakini nashindwa kumwambia

Msaada jamani, kuna mdada nimempenda humu JF lakini nashindwa kumwambia

Helooooo Jf
Aise toka nimejiunga juzi humu jf nimemuona humuu daa hatarii.
Kanivutia sana nimempenda sana.
Tatizo ni kitu kimoja mimi ni domo zege sana
Daah kaniteka ubongo wangu mimi, sioni raha kuwa Jf bila kumtext yeye. Nampenda sana.
Nampenda ila nashindwa kumuambia yaani hata kumtaja nashindwa.
Tafadhari sana nishaurini nifanyaje wakuu, nategemea msaada wenu.
By mgeni kutoka Fesibuku
Rayvanny
Mvizie kona, angalia kama hakuna mtu anaekuona then mshikie kisu shingoni then mwambie kuwa unampenda na akubali au unamkill, akikubali mwambie namba yake ya simu. Then mwache aende zake[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23]
 
Ushauri kuntu huu. Ngoja nione kama nitaweza kuifanya
 
Nazifahamu mbili tu
Huyu mtu ana id ngapi lakini
IMG-20170205-WA0000.jpg

Shunie,shogaangu Emmy, Numbisa, espy na mashemeji zangu woote mie nawaaga ka ifuatavyo, mlale unono

Hahaha jaman
unikumbatie vizuri
 
Jamani kama mnadhania ni utani basi acheni mawazo hayo. Kiukweli nampenda kutoka moyoni na yote mnayoandika siyachukulii kiutani hata kidogo. I really loving her
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]

Sasa ujikaze babaaaa kama
Utaendelea na mwendo huo bhas
Utakula tu kwa macho
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]

Sasa ujikaze babaaaa kama
Utaendelea na mwendo huo bhas
Utakula tu kwa macho
Hahaaa nitampata na nitapiga kelele kwa furaha hadi mods washiruke
 
Tatizo Mi sipendi michanganyo
Nimekufatilia nyendo zako nikaona kabisa unamezea mate wengine
Kiroho safiiiiiii nikajiengua
walaaaa!! Starudia tena hyo
Michanganyo na hili jicho
La tamaa nalipgaa baaniii ya maisha

Samehe bibie ur welcome sweet heart
Mmeo walaaa stak hata kukupoteza
 
Back
Top Bottom