Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
ulimi wako nimeuona wapi mmaa shunnie .. uliupenda ulimi wangu kule?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ulimi wako nimeuona wapi mmaa shunnie .. uliupenda ulimi wangu kule?
Kafanyaje jooh
Umekosa wasichana humu jf
Mvizie kona, angalia kama hakuna mtu anaekuona then mshikie kisu shingoni then mwambie kuwa unampenda na akubali au unamkill, akikubali mwambie namba yake ya simu. Then mwache aende zake[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23]Helooooo Jf
Aise toka nimejiunga juzi humu jf nimemuona humuu daa hatarii.
Kanivutia sana nimempenda sana.
Tatizo ni kitu kimoja mimi ni domo zege sana
Daah kaniteka ubongo wangu mimi, sioni raha kuwa Jf bila kumtext yeye. Nampenda sana.
Nampenda ila nashindwa kumuambia yaani hata kumtaja nashindwa.
Tafadhari sana nishaurini nifanyaje wakuu, nategemea msaada wenu.
By mgeni kutoka Fesibuku
Rayvanny
Ushauri kuntu huu. Ngoja nione kama nitaweza kuifanyaMvizie kona, angalia kama hakuna mtu anaekuona then mshikie kisu shingoni then mwambie kuwa unampenda na akubali au unamkill, akikubali mwambie namba yake ya simu. Then mwache aende zake[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23]
kabsaaaa af umeshambadilishaSi umuona kabaki kulia lia na vineno vya kitoto toto.
Hana hata maneno mazito ya kushawishi
Sasa ww unachomwogopa nnSasa kama binti mwenyewe ndo hivyo jamani hadi ATP zinapungua mwilini
Huyu mtu ana id ngapi lakini
Shunie,shogaangu Emmy, Numbisa, espy na mashemeji zangu woote mie nawaaga ka ifuatavyo, mlale unono
unikumbatie vizuri
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Jamani kama mnadhania ni utani basi acheni mawazo hayo. Kiukweli nampenda kutoka moyoni na yote mnayoandika siyachukulii kiutani hata kidogo. I really loving her
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]ACHA HIZO WEWE,USI FALL IN LOVE NA MTU USIE MFAHAMU,NAONA KAMA JOKES TU HAPA
Aisee nn hutaki au!?
Muache tu[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Wazd kukata moyo mwenzio
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Wazd kukata moyo mwenzio
Ndio nitongozeeeTukotongozee au
Halafu wew usiwe ccmNdio safi kuliko kumpa matumain hewa
Halafu wew usiwe ccm
Hahaaa nitampata na nitapiga kelele kwa furaha hadi mods washiruke[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Sasa ujikaze babaaaa kama
Utaendelea na mwendo huo bhas
Utakula tu kwa macho
walaaaa!! Starudia tena hyoTatizo Mi sipendi michanganyo
Nimekufatilia nyendo zako nikaona kabisa unamezea mate wengine
Kiroho safiiiiiii nikajiengua