Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,448
Hata Simba ni mkali lakini anazaaJamani sasa si anielewe tu halafu mtu mwenyewe mtata huyo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata Simba ni mkali lakini anazaaJamani sasa si anielewe tu halafu mtu mwenyewe mtata huyo.
Kwani unanifaham vipi bibi na ulinifahamia wapiHehehe
Haiwezekani, we nnaekujua huwezi kuwa huyo lege lege hivyo
Nimeipenda hiyo natamani ni mtag hapaHata Simba ni mkali lakini anazaa
PoaNgoja nijitahidi. Nadhani emmyta atanisaidia
Akaa jamani. Hata simjui ila najua ndio tabia za wanaume walio wengi hawajui kununa mbele ya wanawake.Hehehe
Unamjua vyema eeeh, basi sawa
Haya ngoja nivae moyo wa daudi nijipeleke kwa GoliathPoa
Kila la kheri
Hahahahaha nakuona mai wiiiiiiiiiiiiii isije ikawa ni wwunashindwa nn kumwambia si umwambie ujue moja atakubali au atakataa
Nilianza mtilia mashaka kuanzia siku alipo jitambulisha, na niliamua kumfungia camera rasmi...[emoji12]Hata mm nlifkir npo pekeang
Nnae tembeza jicho kwa huyu kijana
Toa ushauri acha fujo shemelaHahahahaha nakuona mai wiiiiiiiiiiiiii isije ikawa ni ww
Kwahito unataka kusemajeNilianza mtilia mashaka kuanzia siku alipo jitambulisha, na niliamua kumfungia camera rasmi...[emoji12]
Hahahaaa! Jisaidie mwenyewe kwanza mimi niite hatua za mwishoNgoja nijitahidi. Nadhani emmyta atanisaidia
Duuh yaani nampenda hadi kizunguzungu. Kwa maupendo yangu nikaanzisha huu uzi kwa ajili yake japo sikumwambiaHahahaaa! Jisaidie mwenyewe kwanza mimi niite hatua za mwisho
HeheheKwani unanifaham vipi bibi na ulinifahamia wapi
Helooooo Jf
Aise toka nimejiunga juzi humu jf nimemuona humuu daa hatarii.
Kanivutia sana nimempenda sana.
Tatizo ni kitu kimoja mimi ni domo zege sana
Daah kaniteka ubongo wangu mimi, sioni raha kuwa Jf bila kumtext yeye. Nampenda sana.
Nampenda ila nashindwa kumuambia yaani hata kumtaja nashindwa.
Tafadhari sana nishaurini nifanyaje wakuu, nategemea msaada wenu.
By mgeni kutoka Fesibuku
Rayvanny
hahahahaha niagize mimi nkamwambie shemela, ila utupe hela ya nanihiii kidogoToa ushauri acha fujo shemela
Kazi kwakoNimeipenda hiyo natamani ni mtag hapa
Asije akawa msaliti[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nifanyie mchongo uniambilie aisee maana niko lonelyhahahahaha niagize mimi nkamwambie shemela, ila utupe hela ya nanihiii kidogo
HeheheHaya ngoja nivae moyo wa daudi nijipeleke kwa Goliath
Nahitaji msaada wako zakayoKazi kwako