Msaada jamani kuna shida wakati wa kukojoa haja ndogo

Msaada jamani kuna shida wakati wa kukojoa haja ndogo

Joined
May 13, 2014
Posts
25
Reaction score
2
Wana jamvi takribani leo ni siku ya tatu kila nikienda kukojoa haja ndogo vitu vyanitekenya tekenya kwa chini ya mzee na hasa pale ninapomalizia malizia
 
kacheki kichocho na magonjwa mengine ya zinaa tena faster usijishauri kabla haijawa CRONIC
 
Back
Top Bottom