Msaada jamani kwa anayejua bei za mashine ya kukamua alizeti

hiyo ya kukamua 200kg kwa saa siyo mashine ya biashara, maana kama utakuwa unakamua tani 1 kwa siku utachekwa na watu. Google sunflower seeds pressing machine, zitakuja nyingi kutoka china na bei zake.
 
Kiongozi, je unataka zenye ukubwa gani yaani uzalishaji kwa saa au kwa siku ni kiasi gani eg 200kg/hour au 5Ton/ day. na uposema set iliyokamilika unamaanisha mpka kwenye refinery process?kwa maana ya complete production line
 
plz mimi nahitaji ya uzalishaji wa siku complete set yan pressing mpaka refinery,
 
plz mimi nahitaji ya uzalishaji wa siku complete set yan pressing mpaka refinery,
Ok utaingia hapahttp://www.dsoilpress.com/ utakutana na mawasiliano yao, hiki ni kiwanda kuna wataalamu watakushauri kutokana na maelezo yako na aina gani ya raw materials unayotaka kutumia, na je unataka kiasi gani kwa siku mfano waliyonipa mimi ni hii ya 5T/D for complete bila ya refinery machine, kuna 1. Semi auto pressing machine ni usd 2700, 2. Roaster machine ni usd 1700 3. ni Filter plate na frame filter ni usd 1650 hii mashine ya 3 ni kama unataka kuwa unapack na ukitaka filling mashine ni usd 1650, sio lazima uchukue machize zote tatu inategemea na ubora wa mafuta uanyotaka ila kama unataka mafuta yakkuza hata supermart ni lzm ubebe hizo 4 ikiwemo filling machines usafiri mpka dar ni usd 1210.kuhusu refinery mashine wansema kwa hizi 5T kwa siku huwezi pata faida na kiuchumi hailipi kwa mfanya baishara mdogo labda kama unatakuwa na kiwanda kikubwa sawa maana ni ghalama sana hivyo hawakushauri. wasiliano nao utapata kujua mengi tumia skype ni nzuri maana ni rahisi kutuma docoments yeyeote ile
 
nani alisema JF si kiboko yao, VIVA mtu wangu asante sana kwa hii useful link
 
upati faida kutokana na garama za uendeshaji au?je ukiwa na milioni 60 unaweza kufanya uwezekaji mkubwa?natamani kufanya prodaction natamani kujua mengi kabla ya kufanya maamuzi.my e-mail: lashaini@gmail.com
 
Ni kutokana na ghalama kuwekeza hizo machine na uendeshaji pia, ila kama mtu anaweza kuzalisha 100T na kuendelea inakuwa nzuri, ila kwa 5T inakuwa sio sawa kabisa
 
Thanks sana mkuu,
Kama hautajali napenda kujua upo mkoa gani ili nije kujifunza hapo uendeshaji wa hiyo mashine coz napenda kufanya hiyo shughuli. Ni PM tu mkuu.

Natanguliza shukrani.
 
Mwaka jana niliulizia kwenye maduka ya wahindi, mitaa ya indira gand Dsm niliambiwa machine yenye uwezo wa kukamua tani 6 kwa siku ni milion 6. sikuuliza detail zaidi sababu nilikuwa bado sijajiandaa
nipe namba za hao wauzaji mashine au tuma namba huku 0712698170
 
Ni milion 11 complete ikiwa na Chujio lake na control box lake
 
Attachments

  • IMG-20240516-WA0019.jpg
    120.6 KB · Views: 8
Kanyaga twende kiongozi

KAZI ni kipimo cha UTU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…