Mkuu, nina inside infos kuhusu hili suala. Nipe email address yako nikupe details.
tatamwise@gmail.com,nahitaji msaada wako pia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu, nina inside infos kuhusu hili suala. Nipe email address yako nikupe details.
wanajamii wenzangu jana nilifanikiwa kuongea na mzee mmoja kutoka sido hapo dar ambaye anatengeneza hizi machine,alisema kwa mashine inayoweza kukamua 200kg kwa saa,inauzwa kwa 4.5mil na unatoa order ya mwezi mmoja na nusu,hiyo bei ni pamoja na moter yake.nashukuu sana wadau
mtaa wa india/zanaki dar zipo kibao kutegemea na capacity unayohitaji nenda kaulize bei.
Kiongozi, je unataka zenye ukubwa gani yaani uzalishaji kwa saa au kwa siku ni kiasi gani eg 200kg/hour au 5Ton/ day. na uposema set iliyokamilika unamaanisha mpka kwenye refinery process?kwa maana ya complete production lineWanajamii foroum nimekuwa nikiwafuatilia sana lkn sikuwahi kama mimi kupost hoja/ombi,kwa kweli mchango wenu ni mkubwa sana katika jamii,naomba mnisaidie mwenzenu nataka kujua bei za mashine ya kukamua alizeti zinauzwa wapi na ni shilingi ngapi kwa seti iliyokamilika?
Kiongozi, je unataka zenye ukubwa gani yaani uzalishaji kwa saa au kwa siku ni kiasi gani eg 200kg/hour au 5Ton/ day. na uposema set iliyokamilika unamaanisha mpka kwenye refinery process?kwa maana ya complete production line
Ok utaingia hapahttp://www.dsoilpress.com/ utakutana na mawasiliano yao, hiki ni kiwanda kuna wataalamu watakushauri kutokana na maelezo yako na aina gani ya raw materials unayotaka kutumia, na je unataka kiasi gani kwa siku mfano waliyonipa mimi ni hii ya 5T/D for complete bila ya refinery machine, kuna 1. Semi auto pressing machine ni usd 2700, 2. Roaster machine ni usd 1700 3. ni Filter plate na frame filter ni usd 1650 hii mashine ya 3 ni kama unataka kuwa unapack na ukitaka filling mashine ni usd 1650, sio lazima uchukue machize zote tatu inategemea na ubora wa mafuta uanyotaka ila kama unataka mafuta yakkuza hata supermart ni lzm ubebe hizo 4 ikiwemo filling machines usafiri mpka dar ni usd 1210.kuhusu refinery mashine wansema kwa hizi 5T kwa siku huwezi pata faida na kiuchumi hailipi kwa mfanya baishara mdogo labda kama unatakuwa na kiwanda kikubwa sawa maana ni ghalama sana hivyo hawakushauri. wasiliano nao utapata kujua mengi tumia skype ni nzuri maana ni rahisi kutuma docoments yeyeote ileplz mimi nahitaji ya uzalishaji wa siku complete set yan pressing mpaka refinery,
Ok utaingia hapaOil Expeller|Oil Mill|Pellet Making Machine utakutana na mawasiliano yao, hiki ni kiwanda kuna wataalamu watakushauri kutokana na maelezo yako na aina gani ya raw materials unayotaka kutumia, na je unataka kiasi gani kwa siku mfano waliyonipa mimi ni hii ya 5T/D for complete bila ya refinery machine, kuna 1. Semi auto pressing machine ni usd 2700, 2. Roaster machine ni usd 1700 3. ni Filter plate na frame filter ni usd 1650 hii mashine ya 3 ni kama unataka kuwa unapack na ukitaka filling mashine ni usd 1650, sio lazima uchukue machize zote tatu inategemea na ubora wa mafuta uanyotaka ila kama unataka mafuta yakkuza hata supermart ni lzm ubebe hizo 4 ikiwemo filling machines usafiri mpka dar ni usd 1210.kuhusu refinery mashine wansema kwa hizi 5T kwa siku huwezi pata faida na kiuchumi hailipi kwa mfanya baishara mdogo labda kama unatakuwa na kiwanda kikubwa sawa maana ni ghalama sana hivyo hawakushauri. wasiliano nao utapata kujua mengi tumia skype ni nzuri maana ni rahisi kutuma docoments yeyeote ile

Ni kutokana na ghalama kuwekeza hizo machine na uendeshaji pia, ila kama mtu anaweza kuzalisha 100T na kuendelea inakuwa nzuri, ila kwa 5T inakuwa sio sawa kabisaupati faida kutokana na garama za uendeshaji au?je ukiwa na milioni 60 unaweza kufanya uwezekaji mkubwa?natamani kufanya prodaction natamani kujua mengi kabla ya kufanya maamuzi.my e-mail: lashaini@gmail.com
Ok utaingia hapaOil Expeller|Oil Mill|Pellet Making Machine utakutana na mawasiliano yao, hiki ni kiwanda kuna wataalamu watakushauri kutokana na maelezo yako na aina gani ya raw materials unayotaka kutumia, na je unataka kiasi gani kwa siku mfano waliyonipa mimi ni hii ya 5T/D for complete bila ya refinery machine, kuna 1. Semi auto pressing machine ni usd 2700, 2. Roaster machine ni usd 1700 3. ni Filter plate na frame filter ni usd 1650 hii mashine ya 3 ni kama unataka kuwa unapack na ukitaka filling mashine ni usd 1650, sio lazima uchukue machize zote tatu inategemea na ubora wa mafuta uanyotaka ila kama unataka mafuta yakkuza hata supermart ni lzm ubebe hizo 4 ikiwemo filling machines usafiri mpka dar ni usd 1210.kuhusu refinery mashine wansema kwa hizi 5T kwa siku huwezi pata faida na kiuchumi hailipi kwa mfanya baishara mdogo labda kama unatakuwa na kiwanda kikubwa sawa maana ni ghalama sana hivyo hawakushauri. wasiliano nao utapata kujua mengi tumia skype ni nzuri maana ni rahisi kutuma docoments yeyeote ile
nipe namba za hao wauzaji mashine au tuma namba huku 0712698170Mwaka jana niliulizia kwenye maduka ya wahindi, mitaa ya indira gand Dsm niliambiwa machine yenye uwezo wa kukamua tani 6 kwa siku ni milion 6. sikuuliza detail zaidi sababu nilikuwa bado sijajiandaa
Ni milion 11 complete ikiwa na Chujio lake na control box lakeWanajamii foroum nimekuwa nikiwafuatilia sana lkn sikuwahi kama mimi kupost hoja/ombi,kwa kweli mchango wenu ni mkubwa sana katika jamii,naomba mnisaidie mwenzenu nataka kujua bei za mashine ya kukamua alizeti zinauzwa wapi na ni shilingi ngapi kwa seti iliyokamilika?
Natafuta sana hii mashineNi milion 11 complete ikiwa na Chujio lake na control box lake