Msaada jamani kwa anayejua hisabati kwa hesabu hizi hapa.

Joined
Dec 8, 2013
Posts
94
Reaction score
10
Naomba kwako mwenye uwezo wa kufanya hesabu hizi, unisaidie hapahapa. 1.Ikiwa set A={XER;6>X, au9<X} B={XER;-4>X au3<X} C={XER;-4<X<6} tafuta; a)AuB b)BnC c)AnB' 2.Ikiwa n(AnB)=5, n(AuB)=16, n(B-A)=8, n(AuB)'=4 Tafuta; n(A), n(B), n(AnB'), n(A'nB'), n(A'nB)
 
Bila shaka wewe ni product ya Mulugo
 
Naomba kwako mwenye uwezo wa kufanya hesabu hizi, unisaidie hapahapa. 1.Ikiwa set A={XER;6>X, au9<X} B={XER;-4>X au3<X} C={XER;-4<X<6} tafuta; a)AuB b)BnC c)AnB' 2.Ikiwa n(AnB)=5, n(AuB)=16, n(B-A)=8, n(AuB)'=4 Tafuta; n(A), n(B), n(AnB'), n(A'nB'), n(A'nB)

Ina maana huko unakosoma huwezi pata msaada? halafu inavyoonyesha hesabu unasoma kwa vile ni lazima yaani huzipendi kabisa, ubaya wa hesabu ni kwamba husipo zipenda na zenyewe hazitakupenda!

Swali lenyewe umekosea ku type ina maana hata hilo hujagundua ndugu yangu?

A={XER;6>X, au9<X}

6>X means x is less than 6
9<X means x is greater than 9, so how comes x to be less than 6 and greater than 9 in the same set A?

B={XER;-4>X au3<X} , yaani x iwe less than -4 halafu iwe greater than 3 in the same set B?

KUWA SERIOUS DOGO
 
Kwa mwendo wa kutaka majibu wakati wewe hujui utaendelea kukalili na haitakusaidia kamwe.Unatakiwa utafute mwalimu akufundishe hesabu hatusomi kwa kupewa majibu.
 
Ina maana huko unakosoma huwezi pata msaada? halafu inavyoonyesha hesabu unasoma kwa vile ni lazima yaani huzipendi kabisa, ubaya wa hesabu ni kwamba husipo zipenda na zenyewe hazitakupenda!

Swali lenyewe umekosea ku type ina maana hata hilo hujagundua ndugu yangu?

A={XER;6>X, au9<X}

6>X means x is less than 6
9<X means x is greater than 9, so how comes x to be less than 6 and greater than 9 in the same set A?

B={XER;-4>X au3<X} , yaani x iwe less than -4 halafu iwe greater than 3 in the same set B?

KUWA SERIOUS DOGO

Majanga kweli!
 
Naomba kwako mwenye uwezo wa kufanya hesabu hizi, unisaidie hapahapa. 1.Ikiwa set A={XER;6>X, au9<X} B={XER;-4>X au3<X} C={XER;-4<X<6} tafuta; a)AuB b)BnC c)AnB' 2.Ikiwa n(AnB)=5, n(AuB)=16, n(B-A)=8, n(AuB)'=4 Tafuta; n(A), n(B), n(AnB'), n(A'nB'), n(A'nB)

mulugo... ..
 
Jaribu kutafuta mwanafunzi yeyote anayesoma kidato cha kwanza atakusaidia. Kuna uwezekano mkubwa hapa JF unaweza usipate msaada kwa sababu walio wengi wataona kuwa unataka kuwapotezea muda wao!
 
Naomba kwako mwenye uwezo wa kufanya hesabu hizi, unisaidie hapahapa. 1.Ikiwa set A={XER;6>X, au9<X} B={XER;-4>X au3<X} C={XER;-4<X<6} tafuta; a)AuB b)BnC c)AnB' 2.Ikiwa n(AnB)=5, n(AuB)=16, n(B-A)=8, n(AuB)'=4 Tafuta; n(A), n(B), n(AnB'), n(A'nB'), n(A'nB)

Huyu atakuwa fundi wa "CURIO SET"
 
Naomba kwako mwenye uwezo wa kufanya hesabu hizi, unisaidie hapahapa. 1.Ikiwa set A={XER;6>X, au9<X} B={XER;-4>X au3<X} C={XER;-4<X<6} tafuta; a)AuB b)BnC c)AnB' 2.Ikiwa n(AnB)=5, n(AuB)=16, n(B-A)=8, n(AuB)'=4 Tafuta; n(A), n(B), n(AnB'), n(A'nB'), n(A'nB)

Wewe utakuwa fundi wa "CURIO SET"
 
Seti A={}
seti B={}
setiC =-3 -2 -1 0 1 2 3 4 5

Aunion B ={}
B intersection C={}
A intersection B'={}
 
Naomba kwako mwenye uwezo wa kufanya hesabu hizi, unisaidie hapahapa. 1.Ikiwa set A={XER;6>X, au9<X} B={XER;-4>X au3<X} C={XER;-4<X<6} tafuta; a)AuB b)BnC c)AnB' 2.Ikiwa n(AnB)=5, n(AuB)=16, n(B-A)=8, n(AuB)'=4 Tafuta; n(A), n(B), n(AnB'), n(A'nB'), n(A'nB)

Ina maana huko unakosoma huwezi pata msaada? halafu inavyoonyesha hesabu unasoma kwa vile ni lazima yaani huzipendi kabisa, ubaya wa hesabu ni kwamba husipo zipenda na zenyewe hazitakupenda!

Swali lenyewe umekosea ku type ina maana hata hilo hujagundua ndugu yangu?

A={XER;6>X, au9<X}

6>X means x is less than 6
9<X means x is greater than 9, so how comes x to be less than 6 and greater than 9 in the same set A?

B={XER;-4>X au3<X} , yaani x iwe less than -4 halafu iwe greater than 3 in the same set B?

KUWA SERIOUS DOGO

Majanga kweli!

kwa nini mkuu? { thinker - someone who exercises the mind (usually in an effort to reach a decision)}
Majanga kwani muuliza swali anaonekana hana hata kwa mbali idea ya basic sets,maana hata swali lake alivyo li frame utata mtupu!!!!
 
Chora kwenye graph utaona acha uvivu.

Kwa uvivu wetu miaka hiyo tuliomba tutumie calculator kwenye mitihani, nyie naona mtaomba muingie na simu.

Naomba kwako mwenye uwezo wa kufanya hesabu hizi, unisaidie hapahapa. 1.Ikiwa set A={XER;6>X, au9<X} B={XER;-4>X au3<X} C={XER;-4<X<6} tafuta; a)AuB b)BnC c)AnB' 2.Ikiwa n(AnB)=5, n(AuB)=16, n(B-A)=8, n(AuB)'=4 Tafuta; n(A), n(B), n(AnB'), n(A'nB'), n(A'nB)
 
Majanga kwani muuliza swali anaonekana hana hata kwa mbali idea ya basic sets,maana hata swali lake alivyo li frame utata mtupu!!!!

Kweli kabisa mkuu kwani inaonekana hajafundishwa kabisa hiyo set maana hawezi gundua hata kama swali liko sawa au la!
 
karibu mkuu

ya pili inahitaji Venn diagram

data n(A&#960;B) =5
n(AUB)=16
n( B&#960;A')=8
n(AuB)'=4
from n(A)+n(B)- n(AnB)=n(AuB)
x+13-5=16
X=8 so nA = 3 by taking 8-5
nB=8 n(AnB')=3 n(A'nB')=4 n(A'nB)=8
 
Back
Top Bottom