kj75
JF-Expert Member
- Feb 17, 2019
- 539
- 637
Kwema,
Kama kichwa Cha habar kinavyosema msaada wenu.
Mimi nimeota usiku wa leo kuwa nyumba yangu ya Kijijini inaungua Moto mle ndani Kuna mtoto wangu mdg nikaenda nikamchukua nikaondoka nae Ila mke wangu akawa anataka aingie kuchukua vitu vingne nikamzuia aache tu viungwe maadamu mtoto tuko nae huyo mdg Ila sisi tuna watoto watatu Hawa wawili kwenye ndoto hawamo
Hii ndoto Ina maana gani?
Ili Hali sisi Kijijini tumetoka yapata wiki tatu Sasa tumelud mjini kuendelea Na majukumu yetu ya kila siku.
Ndoto nyingine ambayo Sasa huwa Ni Mara kwa Mara Ila Sasa hivi nimeona Ni kawaida ingawa mwanzoni ilinisumbua Sana Nikumwota Baba mzazi ambae kwa Sasa Ni Marehemu yapata mwaka Sasa hii inamaana gani naomba msaada nisingependa matusi.