amadala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2017
- 4,265
- 12,268
UNAIJUA SADAKA YA LIMBUKO SAWASAWA?Mkuu mbona unaleta mambo ya ujima? Hujui kuwa kufa kwa Yesu Kristo ilikuwa ni kumwepusha binadamu na sadaka za namna hii? Yesu Kristo alijitoa kwa ajili yetu, kwa hivyo sisi sote (binadamu wote) tulikwishanunukiwa na hatupaswi kutoa tena sadaka za damu?
LIMBUKO NI UZAO WA KWANZA, VYOTE VYA KWANZA NI VYA BWANA.
KWA MFANYABIASHARA: ATAPELEKA SADAKA YA FAIDA ALIYOPATA SIKU YA KWANZA ALIPOFUNGUA BIASHARA YAKE MPYA
KWA FAMILIA KAMA YANGU ZENYE MAFIRST BORN AMBAO KIBLIA NDIO LANGO LA FAMILIA TUNAPELEKA SADAKA KANISANI YA LIMBUKO KUMRUDISHIA BWANA VILIVYO VYAKE.
HUO MFANO NIMEUTOA WA AGANO LA KALE YES MUNGU ALIMJARIBU IBRAHIM ILA ALIMZUIA ALIPOJARIBU KUMCHINJA ISAKA AKAMWAMBIA AMTOLEE MWANAKONDOO ALIENONA.
HAPO UNAPOSEMA UJIMA SIJUI NANI KATI YETU AMBAE BADO YUPO KWENYE UJIMA