Dodoma moja
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 307
- 182
Wakuu nimesikia kuwa cbe campus ya mwanza huwa na intake mbili kwa wanafunz kuanza masomo yaani mwezi wa 3 na wa 10. Kwa wale wa mwezi wa 3 huwa wanatoa application fomu mwez wa kwanza, nimejaribu kuangalia kupitia website yao lakin hakuna information yeyote mpya so niltaka kwa anaefaham anijulishe kama mpango huo upo au umeondolewa maana nataka kujiunga na chuo hiki mwez wa 3