Msaada jamani kwa wanaojua chanzo na tiba ya tatizo

mahirtwahir

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2013
Posts
613
Reaction score
313
Habari zenu wana wa MMU

"Ndoa inakaribia kunishinda kwani sioni maana ya kuowa nikiowa nijistiri kwa kila kitu ila wapi naona ndoa imeanza kulegalega na usaliti unaingia ndani"

Tatizo ni mke wangu ni mwezi wa 5 huu sijapata unyumba kila siku nimekua mtu wa fungu la kukosa toka mke wangu afanyiwe upasuaji wa kujifungua amepoteza kabisa hamu ya tendo la ndoa hadi najipa ujasiri wa kutaka kumbaka cha zaidi ya hilo anaindia mwezini siku 16 tofauti na hapo nyuma na siku nikibembeleza nikapewa mzigo basi nikianza tuu katika uwanja wa 6 x 6 hata simalizi dakika moja damu inatoka kwa spdi ya abjabu km ndio anaindia sasa na ikitoka basi haizuiyi inakua km damu ya hedhi inachukua siku 4 hadi 7 nishachoka idhilali hii hadi nafikirianitafute nyumba ndogo nijisaidie ila nafsi inanisuta kwani nampenda mke wangu na hatima ya usaliti ni mbaya"

Haya ni maneno ya kijana mwenzetu akitafuta ushauri nakuombeni vijana na wazee mulio na busara ,wanandoa na madaktari kutoa ufumbuzi na ushauri kwa mwenzetu.
 
nendeni mkamwone dokta wa wanawake miezi mitano ni mingi saaana
 
kuna dalili ya kansa ya kizazi hapo!mwambie atulie amuuguze mke hata kama atakuwa aki bipu nje afanye bila ya mwenza kujua
 
Dawa ya kuamsha Tamaa ya kike na ya kiume Dawa ya kukufanya ujisikie hamu ya kufanya tendo la ndoa.

Juisi ya tangawizi nusu kijiko pamoja na yai nusu iliochemshwa na asali. Tumia kila siku kwa muda wa mwezi mmoja.

Mkuu.@
mahirtwahi mwambie mkeo atumie hii dawa kisha uje unipe Feedback
 
Mzizi mkavu asante nitarudi kukupa majibu
 
Last edited by a moderator:
Hapo ni uelewa wa hali ya juu unaitajika,kabla hajafanyiwa upasuaji mlikuwa mnashiriki tendo la ndoa vizuri tu au?jitaidi umwambie huyo kijana ampeleke kwenye kituo kingine tofauti cha afya kwa ajili ya checkup,najua daktari atampa majibu mazurisana.pia kama ataendelea kuwa hivyo harakasana nitafute,ninadawa za asili zinazotibu tatzohilo na zip zinazoongeze ashirk ya tendo la ndoa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…