mahirtwahir
JF-Expert Member
- Jan 12, 2013
- 613
- 313
Habari zenu wana wa MMU
"Ndoa inakaribia kunishinda kwani sioni maana ya kuowa nikiowa nijistiri kwa kila kitu ila wapi naona ndoa imeanza kulegalega na usaliti unaingia ndani"
Tatizo ni mke wangu ni mwezi wa 5 huu sijapata unyumba kila siku nimekua mtu wa fungu la kukosa toka mke wangu afanyiwe upasuaji wa kujifungua amepoteza kabisa hamu ya tendo la ndoa hadi najipa ujasiri wa kutaka kumbaka cha zaidi ya hilo anaindia mwezini siku 16 tofauti na hapo nyuma na siku nikibembeleza nikapewa mzigo basi nikianza tuu katika uwanja wa 6 x 6 hata simalizi dakika moja damu inatoka kwa spdi ya abjabu km ndio anaindia sasa na ikitoka basi haizuiyi inakua km damu ya hedhi inachukua siku 4 hadi 7 nishachoka idhilali hii hadi nafikirianitafute nyumba ndogo nijisaidie ila nafsi inanisuta kwani nampenda mke wangu na hatima ya usaliti ni mbaya"
Haya ni maneno ya kijana mwenzetu akitafuta ushauri nakuombeni vijana na wazee mulio na busara ,wanandoa na madaktari kutoa ufumbuzi na ushauri kwa mwenzetu.