Msaada jamani madakatari wetu

Msaada jamani madakatari wetu

strong woman

Senior Member
Joined
Jul 11, 2013
Posts
131
Reaction score
37
Mdogo wangu amekuwa akusumbuliwa na Shida ya constipation siku nyingi sana, sasa Leo ameniuliza juu ya dalili alizonazo kuwa ni kitu gani na he kinatibika?

Ni hivi anadai kuwa siku hizi akienda choo kunakuwa Hanna connection kati ya tumbo na njia ya haja kuwa na hata akitumia nguvu nyingi kinatoka lakini hali hii inakuja kwa kazi saana, na pia ananiuliza kuhusu Kinyama kiko kwa juu kunaweza kuwa ni Shida gani? Na he kinatibika??

Pia kuhusu diet take amebadilisha kabisa.

Asubuhi anakunywa mtori mchana ndizi na jioni ndizi anakula na matunda pia na hali ngano, soda wala wali na ugali na jana aliniuliza kama pombe huwa inalainisha choo.

Naombeni msaada mkuu NB yy ana umri wa miaka 24 na ni msichana.

Naombeni msaada tumsaidie huyu mtu shukrani sana.

Asanteni sana.
 
Habari jf doctor....
Kuna dada yangu amekuwa akisumbuliwa na tatizo la kukosa choo kwa muda sasa takribani miezi 8 hivi... Kilichonifanya miandike Uzi huyu hapa ni kutokana na malalamiko ambayo amekuwa akiniambia.
Ni kuwa siku za karibuni ameanza kuhisi dalili mpya, analazimika kutumia nguvu nyingi kusukuma choo hata pale akiwa amehisi kubanwa hadu kupelekea ahisi kukosa nguvu kwenye mapafu/mbavu hivyo anahisi km vile kuna kitu kimeblock au kinaanza kublock maana anahisi hamna mawasiliano kati ya tumbo na njia ya haja kubwa.
Pia anahisi uwepo wa kinyama sehemu ya njia ya haja kubwa kwa juu, ila hana uhakika km ni yenyewe maana imetokea kwa juu kidogo.

Amebadilisha kabisa ulaji wa vyakula kwani kwa sasa anatumia mtoto asubuhi, mchana ndizi za kuchemsha na jioni anarudia ndizi pia, vyakula km soda, wali, ugali na ngano ameacha ila ndo bado anapata matatizo,, yeye ni bint wa miaka 24 anaomba msaada, asanteni jf.
 
pole kwake..
Huo ugonjwa wa kinyama unaitwa BAWASILI, kwa maelezo uliyotoa inaonesha umesababishwa na kutoa kinyesi kugumu,hivyo kimeharibu mishipa ya damu maeneo hayo..
Tiba ya kwanza, bila woga wala aibu aende hospitali,huu ugonjwa unatibika kabisa..
Pia aache kutumia pilipili,nyama nyekundu na vinywaji vikali.
Ale mboga za majani sana na maji mengi hasa ya uvuguvugu, hiyo pia utasaidia kupunguza constipation.
Kama anaona hiyo contipation sio ya kawaida na haiishi,ajieleza kwa daktari achunguzwa kama kuna tatizo kwa ndani ijulikane.
 
Back
Top Bottom