Msaada jamani mitishamba ya kutibu kuku wa kienyeji

Msaada jamani mitishamba ya kutibu kuku wa kienyeji

hivi mi kabla ya huu uzi nilichanganya alovera na pilipili kichaa nikawapa siku tatu naona walipona kwani walikuwa na mafua,kuhara,na walianza kusinzia..sasa wapo tu vizuri
 
Duuuj ivi izo dawa haziharibu kuku
Yani pilipili kichaa na aloevera si watawashwa mno
 
Back
Top Bottom