Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
duh.... Unathani ingekua lahisi hivyo ningekua naangaika mkuu
yani hilo swala nimeliwaza usiku mzima na hivi nazijua siku zake
Sasa ni march naye aliachana Na mchumba wake novemba, haya mahusiano yenu mpaka yakumwona wife material yamechukua muda gani? Umjua tabia zake? Na je yeye anakupenda kweli au ulikuwa unapunguza frustration zake za kuachwa? Hivi Na wewe huta m cheat? Maana all men are brothers.
Kwa kweli rebound relationships zina vital consequences...its too risky kuanzisha uhusiano na mtu ambaye ni a fresh broken heart coz mara nyingi huwa mioyo yao haikai kwako inavyotakiwa(Its already broken remember?). So hiyo ndo risk uliyochukua na nakushauri utulie tu u watch the show expecting two results(on / off). Both results are beneficial to you...If she comes back gud for you and if she doesnt hey? she was never yours(na out there kuna chako bora zaidi)