Msaada jamani namna ya kulea kichanga cha wiki moja

ningekua sina mume naapa kwa MUNGU ningekwambia niletee nimnyonyeshe mpaka miezi sita au mitatu
yaani pole sana aisee ila jitahidi sana lactogen,usafi na hakikisha anacheua pindi akishiba kipindi hiki tumbo litamsumbua sana au km hasumbuliwi mshukuru sana MUNGU
jitahidi kumlaza kifudifudi inasaidia kupunguza gesi pia
 
Ooooooiiiiii, maskini pole sana na mwenyezi mungu atakulinda kwakumlea yatima wallah huto adhirika, akikisha anapata sindano Kama ulivyo, kula Kama kawaida... Ni msichana au Boy? Mnaishi dar?

Boy,Tupo Mwanza mkuu
 
ningekua sina mume naapa kwa MUNGU ningekwambia niletee nimnyonyeshe mpaka miezi sita au mitatu
yaani pole sana aisee ila jitahidi sana lactogen,usafi na hakikisha anacheua pindi akishiba kipindi hiki tumbo litamsumbua sana au km hasumbuliwi mshukuru sana MUNGU
jitahidi kumlaza kifudifudi inasaidia kupunguza gesi pia

Asante kwa ushauri kiongozi
 
Back
Top Bottom