Msaada: Jamani namuota sana Rais Magufuli

Bwana uber

Member
Joined
Jul 30, 2018
Posts
22
Reaction score
33
Jamani ni zaidi ya miezi sita sasa, haipiti siku tatu bila kumuota raisi MAGUFULI, mara niote eti Mimi ni mmoja wa walinzi wake wanaomlinda nahii si mara moja naota.

Wataalamu wa ndoto nisaidieni hapa tafadhari!!
 
🤣🤣🤣🤣🤣 unamiaka mingapi
 
Labda Mahaba kwake yamezidi..hata hivyo Hongera..
 
Mala zote hizo unaota? We rudi kulala utaamka ushakua mlinzi wake
 
Jamani no zaidi ya miezi sita sasa haipit siku tatu bila kumuota raisi MAGUFURI,mala niote eti Mimi ni mmoja wawalinzi wake wanaomlinda nahii si mala moja naota.wataalamu wa ndoto nisaidieni hapa tafadhari!!
Endelea kumuota mwanaume mwenzio! Na siku ukiota amekula mzigo usisite kuleta uzi pia! Halafu ujifunze kuandika,au na wewe ni wa Chattle?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamani no zaidi ya miezi sita sasa haipit siku tatu bila kumuota raisi MAGUFURI,mala niote eti Mimi ni mmoja wawalinzi wake wanaomlinda nahii si mala moja naota.wataalamu wa ndoto nisaidieni hapa tafadhari!!
Utamfuata Lema Kisongo.
 
New member wetu hapa ni Jf jitaidi uandishi mzuri. Piya wenzako wamo humu wanaelewa jiwa anapenda kusifiwa na kujipendekeza. Mbinu unayotumia ni changa sana wenzako wamemsifu ila hadi leo hawajawahi kula teuzi.
 
HAHAHAHAHAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA! Kizazi hiki ni shida. Kuota hakuna maana halisi yoyote. Kuota ni sawa sawa na kufikiri, hakuna maana yoyote.
 
Ungemfuata pale kwake ukamueleze,angefurahi sana
 
Jamani no zaidi ya miezi sita sasa haipit siku tatu bila kumuota raisi MAGUFURI,mala niote eti Mimi ni mmoja wawalinzi wake wanaomlinda nahii si mala moja naota.wataalamu wa ndoto nisaidieni hapa tafadhari!!
Hamia chattle ndoto zako zitatimia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…