The Chosen One
JF-Expert Member
- May 24, 2017
- 3,579
- 17,011
Kaka kamali sio kaz kamali n starehe kuna wafanyakaz wanacheza kamali na wanapoteza pesa nying na za ingine wankipato za y hiko cha kwako ukisikia mtu amekua adikted na kamali anachohitaj n counseling hana linguine maana n matatizo kama uteja wa madawa na ikibd apelekwe haya soberTukiwaambia tafuteni kazi mufanye ile sio kazi munatukana, haya sasa ngoja waeje wakupe ushauri
Wao wanafanya ajira sasaKaka kamali sio kaz kamali n starehe kuna wafanyakaz wanacheza kamali na wanapoteza pesa nying na za ingine wankipato za y hiko cha kwako ukisikia mtu amekua adikted na kamali anachohitaj n counseling hana linguine maana n matatizo kama uteja wa madawa na ikibd apelekwe haya sober
Asante sanaa mkuu nafanyia kaziUkitaka kuacha kamali
Hakikisha hutembei na hela haya sent hii itakusaidia hata pale ukitaka kucheza ukose pesa ya kuchezea
Hakikisha hukai maeneo Karin na kamali kwan ushaish unaanzia hapo
Badilisha aina ya marafiki kama kazin au hata unaosociolize nao kitaa
Tafuta hobby engine itakayo kufanya uwe bize kipind ambacho utajisikia hamu ya kucheza kamali
Au mrudie mungu wako
Wazo zuri ila huduma za jamii tatzoKaishi jangwani wiki mbili mkuu utaacha tuu, au labda ubeti na ngamia
nimeamua naachaUna bahati umeweza kuona ubaya wa mchezo huo na unatamani kuachana nao.
Dawa ni kuacha. Amua kuacha.
Mkuu huu mchezo ni umasikini tuNaomben sure tips za leo....nataka nitie mzigo.
Mkuu hata upige 100mill lazima tu utairudisha taratibuEndelea tyu mchezo mzuri ckumoja utapata tyu ata elfu 50 lakn bet kwa kutumia ubongo cio hisia
Asante mkuu ushauri mzuriSwali: Ufanyeje ili uweze kuacha?
Jibu: 1. Dhamiria KUACHA kwa ridhaa yako mwenyewe na huku ukijiepusha na marafiki, shughuli na vyovyote vinavyohusiana na huo mchezo hata ushauri usitoe kwa mtu yeyote.
2. Jiambie kwamba unaweza hasa kwa kujikita katika shughuli zingine na hasa za kijamii, mazoezi au kujitolea huku ukijiepusha na matumizi mabaya ya fedha ya thamani yeyote ile na kama ni ngumu basi hakikisha unaandika matumizi ya fedha zako zote za kila siku hata iwe Tshs. 1 kwenye kijitabu kidogo kwa ajili ya kumbukumbu na hutajutia, sababu utajionea aibu na huruma pia.
3. Fanya Kazi, Fanya Kazi na mwishowe Uchape Kazi kwa Nguvu zote.(Kinachoingia kwa Jasho, Kitatoka kwa Jasho)
JITAHIDI UNAWEZA.