Msaada jamani napotea mimi

Msaada jamani napotea mimi

Kamar INA ibilis mbaya sana raha ya kamali n kushika pesa na mcheza kamali hajui thaman ya pesa hata kidigo huwa na daharau na shilng hta awe na million ana aamini hiyo hela inaweAza potea kama upepo na anaweza kuwa tajir ghafla pia akiwa na shs 1000 tu unaposhinda katika kamali almost nusu ya pesa huisha kimiujiza yaan matumiz ambayo haya wewe uloshinda huyaelew na ukipunwa hujikuta huna lankufanya zaid ya kuanza kuipigia hesab pesa ilopotea
Mcheza kamali hqna mafanikio hata awe anapuna kila siku million ya mchez kamali ni sasa na shilling elfu kumi ya mbeba zege katika matumiz

Ukitaka kuacha kamali
Hakikisha hutembei na hela haya sent hii itakusaidia hata pale ukitaka kucheza ukose pesa ya kuchezea
Hakikisha hukai maeneo Karin na kamali kwan ushaish unaanzia hapo
Badilisha aina ya marafiki kama kazin au hata unaosociolize nao kitaa
Tafuta hobby engine itakayo kufanya uwe bize kipind ambacho utajisikia hamu ya kucheza kamali
Au mrudie mungu wako kwan yeye ndie muweza maana mungu Wa kamali ananguvu kuna watu wameuza nyumba viwanja mashamba na sasa hawana walichonacho zaid ya miili ambayo kama wangepata Mteja wangeuza wakachezee kamali

Watanzania wengi hatuna nidhamu ya pesa.
 
The fact kwamba umeshauchukia mchezo huo ndio mtaji muhimu ulionao kuelekea kuuacha. Kama ungekuwa unashawishiwa na mtu mwingine kuuacha ingekuwa vigumu mara mbili. Kila siku au kila wakati jione (piga taswira) ukiwa hufanyi jambo hilo. Jione kwa shauku ndani ya moyo wako kuwa tayari umeshaacha. Sub-conscious mind huwa ina-learn. ---- Hatimaye utafika mahali utaacha kabisa.
 
Ushauri mzur mkuu
 
Natumai uzima upo Wakuu naombeni msaada nifanyeje niweze kuachana na huu mchezo wa betting mana nishakuwa adicted natafuta pesa kwa nguvu ila inaishia huko kwnye betting company hata nile kiasi gan cha pesa bado nawarudishia taratibu naombeni ushauri nifanyaje kuachana na mchezo huu
Hehe
 
Mtakuwa vibaka sasa
 
Kamari ya kisasa
 
Nlishawaambia huu mchezo upo connected na nguvu za Giza hamuamin jamaa yng hapa alikula million tisa akaacha shule, akafungua biashara mwez mmoja tuu akafilisika, akaanza kuchonga viaz kwenye mabanda ya chips, ameapa hata rudia tenaaaa kubett alikua aingie form six anajutaaaa
Mm nina jamaa angu nae alishinda m13 ila baada ya wiki tu hakuwa hata na laki
 
Kamar INA ibilis mbaya sana raha ya kamali n kushika pesa na mcheza kamali hajui thaman ya pesa hata kidigo huwa na daharau na shilng hta awe na million ana aamini hiyo hela inaweAza potea kama upepo na anaweza kuwa tajir ghafla pia akiwa na shs 1000 tu unaposhinda katika kamali almost nusu ya pesa huisha kimiujiza yaan matumiz ambayo haya wewe uloshinda huyaelew na ukipunwa hujikuta huna lankufanya zaid ya kuanza kuipigia hesab pesa ilopotea
Mcheza kamali hqna mafanikio hata awe anapuna kila siku million ya mchez kamali ni sasa na shilling elfu kumi ya mbeba zege katika matumiz

Ukitaka kuacha kamali
Hakikisha hutembei na hela haya sent hii itakusaidia hata pale ukitaka kucheza ukose pesa ya kuchezea
Hakikisha hukai maeneo Karin na kamali kwan ushaish unaanzia hapo
Badilisha aina ya marafiki kama kazin au hata unaosociolize nao kitaa
Tafuta hobby engine itakayo kufanya uwe bize kipind ambacho utajisikia hamu ya kucheza kamali
Au mrudie mungu wako kwan yeye ndie muweza maana mungu Wa kamali ananguvu kuna watu wameuza nyumba viwanja mashamba na sasa hawana walichonacho zaid ya miili ambayo kama wangepata Mteja wangeuza wakachezee kamali
Haha mkuu umeua
 
Kaka kamali sio kaz kamali n starehe kuna wafanyakaz wanacheza kamali na wanapoteza pesa nying na za ingine wankipato za y hiko cha kwako ukisikia mtu amekua adikted na kamali anachohitaj n counseling hana linguine maana n matatizo kama uteja wa madawa na ikibd apelekwe haya sober

Tutawajengea betting sober house
 
Back
Top Bottom