Kisu Cha Ngariba
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 22,135
- 48,827
Kamar INA ibilis mbaya sana raha ya kamali n kushika pesa na mcheza kamali hajui thaman ya pesa hata kidigo huwa na daharau na shilng hta awe na million ana aamini hiyo hela inaweAza potea kama upepo na anaweza kuwa tajir ghafla pia akiwa na shs 1000 tu unaposhinda katika kamali almost nusu ya pesa huisha kimiujiza yaan matumiz ambayo haya wewe uloshinda huyaelew na ukipunwa hujikuta huna lankufanya zaid ya kuanza kuipigia hesab pesa ilopotea
Mcheza kamali hqna mafanikio hata awe anapuna kila siku million ya mchez kamali ni sasa na shilling elfu kumi ya mbeba zege katika matumiz
Ukitaka kuacha kamali
Hakikisha hutembei na hela haya sent hii itakusaidia hata pale ukitaka kucheza ukose pesa ya kuchezea
Hakikisha hukai maeneo Karin na kamali kwan ushaish unaanzia hapo
Badilisha aina ya marafiki kama kazin au hata unaosociolize nao kitaa
Tafuta hobby engine itakayo kufanya uwe bize kipind ambacho utajisikia hamu ya kucheza kamali
Au mrudie mungu wako kwan yeye ndie muweza maana mungu Wa kamali ananguvu kuna watu wameuza nyumba viwanja mashamba na sasa hawana walichonacho zaid ya miili ambayo kama wangepata Mteja wangeuza wakachezee kamali
Watanzania wengi hatuna nidhamu ya pesa.