msaada jamani ni hospitali gani zinatibu ngozi kwa dar au dodoma?

msaada jamani ni hospitali gani zinatibu ngozi kwa dar au dodoma?

IGUDUNG'WA

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2011
Posts
2,071
Reaction score
1,317
Ndugu zangu nimekuwa nikisumbuliwa na harara zilizochanganyikana na chunusi tangu mwaka 2006, nimekwenda dispensary na mahospitali mbalimbali lakini naona hakuna mafanikio. mara ya kwanza niliamini kuwa kila doctor anaweza kutatua tatizo langu lakini wote niliowaona wameishia kunipa cream tu ambazo hazijasaidia kitu, sasa nimegundua nahitaji kumuona specialist wa ngozi maana hali inazidi kuwa mbaya sana. naombeni msaada wenu wana JF
 
kwa dar nenda mikocheni mission kuna dr mzuri,niliwah kwenda zamani kwa sasa sjui bado yupo iloa wana vipimo vizuri
 
kwa dar nenda mikocheni mission kuna dr mzuri,niliwah kwenda zamani kwa sasa sjui bado yupo iloa wana vipimo vizuri
poa mkuu asante sana kwa msaada wako... nitafika huko mikocheni hosp.
 
Mkuu, IGUDUNG'WA huwa unakunywa maji mengi ya kutosha? Kama sio, hebu anza na kunywa maji ya kutosha kwanza.
 
Last edited by a moderator:
Kwa Dodoma nenda hospital ya VYEYULA MISHENI hao ni mabingwa wa magonjwa ya ngozi
 
Mkuu, IGUDUNG'WA huwa unakunywa maji mengi ya kutosha? Kama sio, hebu anza na kunywa maji ya kutosha kwanza.
mkuu maji huwa nakunywa sana tu. tatizo hili naona linanizidi nguvu kadri siku zinavyokwenda, kumbuka tangu mwaka 2006 nahangaika na huu uso na ilikuwa kidogo afadhali
 
Last edited by a moderator:
Fluconazole na gentledem cream tosha. Usivae nguo bila pasi na badili kila siku
 
Fluconazole na gentledem cream tosha. Usivae nguo bila pasi na badili kila siku
mkuu hivyo mbona nilishatumia sana lakini hakuna mabadiliko.... pia hiyo hali iko usoni tu sehemu nyingine ya mwili iko poa sana
 
Back
Top Bottom