IGUDUNG'WA
JF-Expert Member
- Oct 22, 2011
- 2,071
- 1,317
Ndugu zangu nimekuwa nikisumbuliwa na harara zilizochanganyikana na chunusi tangu mwaka 2006, nimekwenda dispensary na mahospitali mbalimbali lakini naona hakuna mafanikio. mara ya kwanza niliamini kuwa kila doctor anaweza kutatua tatizo langu lakini wote niliowaona wameishia kunipa cream tu ambazo hazijasaidia kitu, sasa nimegundua nahitaji kumuona specialist wa ngozi maana hali inazidi kuwa mbaya sana. naombeni msaada wenu wana JF