IGUDUNG'WA
JF-Expert Member
- Oct 22, 2011
- 2,071
- 1,317
poa mkuu asante sana kwa msaada wako... nitafika huko mikocheni hosp.kwa dar nenda mikocheni mission kuna dr mzuri,niliwah kwenda zamani kwa sasa sjui bado yupo iloa wana vipimo vizuri
mkuu maji huwa nakunywa sana tu. tatizo hili naona linanizidi nguvu kadri siku zinavyokwenda, kumbuka tangu mwaka 2006 nahangaika na huu uso na ilikuwa kidogo afadhaliMkuu, IGUDUNG'WA huwa unakunywa maji mengi ya kutosha? Kama sio, hebu anza na kunywa maji ya kutosha kwanza.
asante sana mkuu kwa msaada wakoKwa Dodoma nenda hospital ya VYEYULA MISHENI hao ni mabingwa wa magonjwa ya ngozi
mkuu hivyo mbona nilishatumia sana lakini hakuna mabadiliko.... pia hiyo hali iko usoni tu sehemu nyingine ya mwili iko poa sanaFluconazole na gentledem cream tosha. Usivae nguo bila pasi na badili kila siku