Zuia Sayayi
JF-Expert Member
- Mar 28, 2011
- 841
- 134
Naomben ushaur jaman Mm ni msabato, na nimepata mchumba wa dini ya Roman catolic nikimwambia abili dini hataki nifanyeje nisaidien niko njia panda..!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahahahhahahaaaaaaaaaaaaaaaaa loh!wasabato wako tayari kufukuzwa kazi ili waende kanisani jumamosi
wewe badili ukishindwa basi,tafuta roma mwwenzio
Naomben ushaur jaman Mm ni msabato, na nimepata mchumba wa dini ya Roman catolic nikimwambia abili dini hataki nifanyeje nisaidien niko njia panda..!
tena kubwa sana!wewe ni tatizo.
Naomben ushaur jaman Mm ni msabato, na nimepata mchumba wa dini ya Roman catolic nikimwambia abili dini hataki nifanyeje nisaidien niko njia panda..!
avata yako na comments zako viko serious sana.wasabato wako tayari kufukuzwa kazi ili waende kanisani jumamosi