Msaada jamani niko njia panda.

Msaada jamani niko njia panda.

Zuia Sayayi

JF-Expert Member
Joined
Mar 28, 2011
Posts
841
Reaction score
134
Naomben ushaur jaman Mm ni msabato, na nimepata mchumba wa dini ya Roman catolic nikimwambia abili dini hataki nifanyeje nisaidien niko njia panda..!
 
wasabato wako tayari kufukuzwa kazi ili waende kanisani jumamosi
wewe badili ukishindwa basi,tafuta roma mwwenzio
 
duh, mmekutana conservative wawili.
Aliyeweak ataperish
 
hujampenda bado, tembo card mastercard, nenda kajipange tena!
 
kwani wewe huwezi kubadili? au ya kwako ni ndo dini sana kuliko ya mwenzio ?
wewe ndo unatakiwa ubadili
 
Naomben ushaur jaman Mm ni msabato, na nimepata mchumba wa dini ya Roman catolic nikimwambia abili dini hataki nifanyeje nisaidien niko njia panda..!

hivi u sabato na u katoliki ni dini mbili tofauti?
 
Hilo sio tatizo km mtakaa na kulijadili kwa kina,
Km yeye hataki kwann ww usibadili?
Km vp fungen ndoa ya boman kila mtu aendelee kwenda kanisan kwake,
Km mnapendana kweli basi lzm mtafute njia ya kupigania penzi lenu,
Mbona mungu tunayemwabudu ni huyohuyo mmoja?tofauti ni siku tu.
 
Funga mkanda, kwani mambo ya imani ni magumu sana!! Pia jiandae kula viporo siku za week end kwani wasabato ikifika Ijumaa jioni hakuna kupika mpaka sabato ya bwana ipite!! Teh, teh, teh, teh!!
 
  • Thanks
Reactions: mka
These kind of stuffs are outdated kabisa! Why would you want someone to change his/her religion na wewe hutaki kufanya hivyo. Who said mapenzi lazima muwe dini moja. Seems to me hakuna mapenzi hapo, you love the person for who is!
 
Naomben ushaur jaman Mm ni msabato, na nimepata mchumba wa dini ya Roman catolic nikimwambia abili dini hataki nifanyeje nisaidien niko njia panda..!

Hakuna mapenzi hapo!mcngehangaika kujiiza kitu km hicho
 
Acha mambo yako ya kizamani hayo!Biblia imesema acheni magungu na Ngano vikue pamoja!kama hujachangamana nae huyo lini nae atamjua mungu wako kama ni wa kweli kuliko wake, nalini wewe utajua kuwa mungu wake ni wa kweli kuliko wake!Mungu hakutubagua wewe unaanzaje kubagua watu wake!
 
Back
Top Bottom