Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
chemsha hayo maji,au yaache juani kwa muda kabla ya kuoga,the urudi ulete jibu hapaNina ugonjwa siku nyingi sasa yani nikimaliza kuoga kama dakika 2 mwili wote unaanza kuwasha najikuna hadi nusu saa baadae unapoa. Nimetumia dawa za aleji lakini wapi naombeni msaada nitumie dawa gani?
chemsha hayo maji,au yaache juani kwa muda kabla ya kuoga,the urudi ulete jibu hapa
Nikiyachemsha au kuyaweka juani nikioga ninawashwa kidogo sana na kwambali sana.
Nina ugonjwa siku nyingi sasa yani nikimaliza kuoga kama dakika 2 mwili wote unaanza kuwasha najikuna hadi nusu saa baadae unapoa. Nimetumia dawa za aleji lakini wapi naombeni msaada nitumie dawa gani?

Badilisha aina ya sabuni unayotumia uone itakuajeNina ugonjwa siku nyingi sasa yani nikimaliza kuoga kama dakika 2 mwili wote unaanza kuwasha najikuna hadi nusu saa baadae unapoa. Nimetumia dawa za aleji lakini wapi naombeni msaada nitumie dawa gani?