Msaada jamani; Nimepata harara

kirisha

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2017
Posts
573
Reaction score
663
nimeshikwa na viarara usoni paka kwenye kifua sivipendi msahada kwa sabuni au mafuta ya kuviondoa kabixa vimekuwa kero kwangu sana tafadhali naombeni mnisaidi
 
nimeshikwa na viarara usoni paka kwenye kifua sivipendi msahada kwa sabuni au mafuta ya kuviondoa kabixa vimekuwa kero kwangu sana tafadhali naombeni mnisaidi
Pole kwa tatizo hilo la ng'ozi lakini unaweza pata bidhaa sahihi kwa ng'ozi yako kutoka kwenye kampuni ya Oriflame.. Kampuni hii inabidhaa sahihi na zilizotengenezwa kwa kutumia malighafi asilia. Hazichubui..
Ukihitaji waweza wasiliana nami kwa simu namba 0671416194 nitakuonyesha bidhaa na bei yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…