Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole kwa tatizo hilo la ng'ozi lakini unaweza pata bidhaa sahihi kwa ng'ozi yako kutoka kwenye kampuni ya Oriflame.. Kampuni hii inabidhaa sahihi na zilizotengenezwa kwa kutumia malighafi asilia. Hazichubui..nimeshikwa na viarara usoni paka kwenye kifua sivipendi msahada kwa sabuni au mafuta ya kuviondoa kabixa vimekuwa kero kwangu sana tafadhali naombeni mnisaidi![]()