labda sijajua vizuri, kila nikipata kitu kizuri na ku add kwenye curt naambiwa the item does not ship to your destination, sasa hiz bidhaa zao zinakuwa shipped wapi kama huku kwetu haziji au kuna sehemu nakosea?.
Pili kwa wale mnaofamu kuhusu kodi, kwa mf. LED tv 32" kodi ntalipia sh. ngap? nikinunua nje, na je haina usumbufu?
Tatu, nahtaji na mengineyo yatakayonipa mwanga kuhusu buying online nisaidieni, ni mara ya kwanza nataka kujaribu hii kitu, pia apart from amazon na e bay ambao pia nimekutana na kadhia kama hii, je kuna web nyingine nzuri for shopping?
lengo langu nikununua flat screen tv na electronics nyingine huko nje naona ka ni cheap.
MSAADA KWA AJUAYE.
Ulinunua via ebay?umenigusa sana kuhusu studio monitors,nazitaka hizo kitu na mimi
wauzaji wanatofautiana.me nimewahi kununua laptops/memory card/flash drives kupitia ebay na zilitumwa kupitia shirika la posta la marekani nikazipokea hapo posta makao makuu.na sio mara moja.unachotakiwa ni kucheki zile conditions za wauzaji kupata wanosafirisha worldwide.
mkuu ulinunua kwa supplier yupi? tafadhali nijuze na mimi nahitaji the same flat screen ya inchi 32
unaweza kununua lakini ukitaka uvipate tena kwa discount nzuri kuwa mwanachama wa hii site Welcome to SiteTalk - Log in or sign up
ukinunua utapata punguzo kubwa kaka.
Jamani wakati mwingine acheni ujinga na tumieni akili japo kidogo, siamini kama wewe utakosa rafiki au ndugu mwanajeshi, kama yupo nenda naye kwenye Military duty free shop, hiyo flat screen utaipata kwa laki nane tu. mapresha yote ya kuimport ya nini?mkuu ulinunua kwa supplier yupi? tafadhali nijuze na mimi nahitaji the same flat screen ya inchi 32
Jamani wakati mwingine acheni ujinga na tumieni akili japo kidogo, siamini kama wewe utakosa rafiki au ndugu mwanajeshi, kama yupo nenda naye kwenye Military duty free shop, hiyo flat screen utaipata kwa laki nane tu. mapresha yote ya kuimport ya nini?
Yeye atakachokusaidia ni kuonesha kitambulisho chake tu kuonesha kwamba yeye ndio mnunuzi.