Msaada jamani: Shopping Amazon

Msaada jamani: Shopping Amazon

There is no sound financial policy in Tanzania...security systems are still poor...that's why akina Amazon wanalimit options za ku ship kuja uku...PayPal yenywe inatushida adi uende Crdb cjui tena yenywe uwez pokea pesa from abroad..this country bwana..my advice: kama una kahela kako bora ununue uku uku otherwise utakua unacheza bahat nasibu either ufanikiwe au uingie chaka
 
mie mwenyewe nimekuwa nikihangaika sana with amazon mpaka nikakata tama, I desperately needed an amazon kindlelkn nikachemsha hiyo hiyo issue ya address kwamba hawawezi kushuip kuja huku, agrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr!
 
labda sijajua vizuri, kila nikipata kitu kizuri na ku add kwenye curt naambiwa the item does not ship to your destination, sasa hiz bidhaa zao zinakuwa shipped wapi kama huku kwetu haziji au kuna sehemu nakosea?.

Pili kwa wale mnaofamu kuhusu kodi, kwa mf. LED tv 32" kodi ntalipia sh. ngap? nikinunua nje, na je haina usumbufu?

Tatu, nahtaji na mengineyo yatakayonipa mwanga kuhusu buying online nisaidieni, ni mara ya kwanza nataka kujaribu hii kitu, pia apart from amazon na e bay ambao pia nimekutana na kadhia kama hii, je kuna web nyingine nzuri for shopping?

lengo langu nikununua flat screen tv na electronics nyingine huko nje naona ka ni cheap.

MSAADA KWA AJUAYE.

unaweza kununua lakini ukitaka uvipate tena kwa discount nzuri kuwa mwanachama wa hii site Welcome to SiteTalk - Log in or sign up
ukinunua utapata punguzo kubwa kaka.
 
Ulinunua via ebay?umenigusa sana kuhusu studio monitors,nazitaka hizo kitu na mimi

Ndio ila sijanunua mm kuna jamaa yng yupo Denmark kani nunulia kupitia ebay then kani2mia kwa njia ya posta nmelipa elfu 50 ushuru...
 
wauzaji wanatofautiana.me nimewahi kununua laptops/memory card/flash drives kupitia ebay na zilitumwa kupitia shirika la posta la marekani nikazipokea hapo posta makao makuu.na sio mara moja.unachotakiwa ni kucheki zile conditions za wauzaji kupata wanosafirisha worldwide.

Mbona mm nmepta mizigo yng ndani ya wiki toka nje bila tatizo inategemea na njia uliyotumia kutuma huo mzigo...
 
mkuu ulinunua kwa supplier yupi? tafadhali nijuze na mimi nahitaji the same flat screen ya inchi 32

Na jamaa yupo Denmark ndio na mtumia kuni nunulia vitu bei ya usafirishaji kutoka kule inategemea na ukubwa wa kilo za mzigo,ukifika hapa posta akuna tatizo una ongea nao 2...
 
mkuu ulinunua kwa supplier yupi? tafadhali nijuze na mimi nahitaji the same flat screen ya inchi 32
Jamani wakati mwingine acheni ujinga na tumieni akili japo kidogo, siamini kama wewe utakosa rafiki au ndugu mwanajeshi, kama yupo nenda naye kwenye Military duty free shop, hiyo flat screen utaipata kwa laki nane tu. mapresha yote ya kuimport ya nini?

Yeye atakachokusaidia ni kuonesha kitambulisho chake tu kuonesha kwamba yeye ndio mnunuzi.
 
Kuna kampuni nyingi katika Internet zinakupa address ya kutumia Kama upo marekani. Wana warehouse na kuhifadhi Mali yako Mpaka upo tayari kusafirisha tz. Kama credit card yako itafanya kazi basi unatumia address Yao na wao wanakucharge shipping na service charge lakini unaweza kununua amazon na site zote marekani. Kutokana na uzito, no Kama dola 100 kwa nusu kilo Mpaka bongo.
 
Jamani wakati mwingine acheni ujinga na tumieni akili japo kidogo, siamini kama wewe utakosa rafiki au ndugu mwanajeshi, kama yupo nenda naye kwenye Military duty free shop, hiyo flat screen utaipata kwa laki nane tu. mapresha yote ya kuimport ya nini?

Yeye atakachokusaidia ni kuonesha kitambulisho chake tu kuonesha kwamba yeye ndio mnunuzi.

Nashukuru kwa ushauri ila sijapenda hapo kwa red, au mkuu umezoea siasani nini!
 
Back
Top Bottom