Msaada jamani ,usizime taa kwa lugha kifaransa

Msaada jamani ,usizime taa kwa lugha kifaransa

smh

Senior Member
Joined
Mar 20, 2018
Posts
133
Reaction score
105
Habari za wakati huu, niende kwenye Mada ninaishi na mmiliki wa nyumba mmakonde hajui kuzungumza lugha ya watanzania kila wakati anazima taa usiku. Tumeshindwa kuelewana lugha ya kiswahili na kingereza,
Naomba mwenye kujua lugha KIFARANSA, KIRENO na KIMAKONDE anisaidie neno USIZIME TAA kwa lugha zilizo tajwa hapo juu

Nawasilisha
 
Watu wengine bhana, hivi mpaka leo hujajua kama kuna kitu inaitwa Google Translate?
 
  • Thanks
Reactions: smh
AKIZIMA LEO MUWASHE KOFI MATATA HALAFU UWASHE TENA TAA. RUDIA ZOEZI HILI MPAKA AELEWE.
 
  • Thanks
Reactions: smh
Back
Top Bottom