Weye wa kike wa kiume?? Punguza kula sana..kunywa maji mengi na fanya mazoezi sana...waeza enda gym itasaidia...Mimi ni kijana mwenye miaka 22,ninaombeni msaada wa jinsi ya kupungua mwili wangu maana kila siku ya mungu ninaongezeka uzito na sasa nina kilo 120,ninaogopa kuwa nipo karibu kupata magonjwa pia dunia ninaiona chungu maana sina furaha hata kidogo,ninaombeni mnisaidie.
kuanzia kesho uanze kukimbia asubuhi,kila siku na kama kuna gym jisogeze,halafu acha kula saaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaanaHapana mkuu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nomaa sana aiseeAsee pole mi nauliza yale mambo yetu ya kula papuchi kama unaweza maana huo uzito teh teh kamoja tu unaamka keshokutwa
Duuuh. we kwa papuchi..! Uachi zipite hiv hivAsee pole mi nauliza yale mambo yetu ya kula papuchi kama unaweza maana huo uzito teh teh kamoja tu unaamka keshokutwa
Nitafute mimi nikupe dawa ya kupunguwa huo uzito wako kwa haraka pasipo na kudhurika kiafya . Dawa ninayo ya kuweza kukupunguzia huo uzito wako.Ukihitaji Tiba toka kwangu Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano MziziMkavu Email barua ya pepe. fewgoodman@hotmail.com What's App na Viber +905344508169Mimi ni kijana mwenye miaka 22,ninaombeni msaada wa jinsi ya kupungua mwili wangu maana kila siku ya mungu ninaongezeka uzito na sasa nina kilo 120,ninaogopa kuwa nipo karibu kupata magonjwa pia dunia ninaiona chungu maana sina furaha hata kidogo,ninaombeni mnisaidie.
NtakutafutaNitafute mimi nikupe dawa ya kupunguwa huo uzito wako kwa haraka pasipo na kudhurika kiafya . Dawa ninayo ya kuweza kukupunguzia huo uzito wako.Ukihitaji Tiba toka kwangu Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano MziziMkavu Email barua ya pepe. fewgoodman@hotmail.com What's App na Viber +905344508169
View attachment 411188
tehe tehe tehe (mwenzio bado bikira wa kiume)Asee pole mi nauliza yale mambo yetu ya kula papuchi kama unaweza maana huo uzito teh teh kamoja tu unaamka keshokutwa