mbiza
JF-Expert Member
- Feb 8, 2014
- 529
- 135
Mimi ni kijana mwenye miaka 22,ninaombeni msaada wa jinsi ya kupungua mwili wangu maana kila siku ya mungu ninaongezeka uzito na sasa nina kilo 120,ninaogopa kuwa nipo karibu kupata magonjwa pia dunia ninaiona chungu maana sina furaha hata kidogo,ninaombeni mnisaidie.