Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu samahani kwa swali la kizushi,umepiga piga sana nyeto?Samahani kwa usumbufu ninahitaji daktari wa wanaume(ororlogist maana nimeonekana na zero sperm ccount niko Arusha
punyeto haiwezi sababisa azoopermia hata kidogo soma vizuri notisi zako, kinachosababisha ni aidha kuziba (blockage) au kuharibika (distruction) kwa mrija wa manii (sperm duct) na kingine ni sleeping of testerone hormone. punyeto hupunguza nguvu za kiume (penis strengh) siyo kushusha uwezo wa kutungisha mimba (not to cause low sperm count)you should know thisPole kwa tatizo, kuna mawili yawezekana unapiga sana punyeto, kwani kupiga punyeto kupita kiasi husababisha zero sperm count. Na kama mchezo huu ufanye basi yawezekana una tatizo la anabolic steroid abuse, or ozoospermia .
Onyo: Acha punyeto ni hatari kwa afya yako na kizazi chako.