Msaada jamani

Msaada jamani

monakule

Member
Joined
Sep 29, 2012
Posts
86
Reaction score
22
Samahani kwa usumbufu ninahitaji daktari wa wanaume(ororlogist maana nimeonekana na zero sperm ccount niko Arusha
 
Pole mkuu, ikishindikana kabisa, asili mtoto kutoka vituo vya kulea watoto.
 
Pole kwa tatizo, kuna mawili yawezekana unapiga sana punyeto, kwani kupiga punyeto kupita kiasi husababisha zero sperm count. Na kama mchezo huu ufanye basi yawezekana una tatizo la anabolic steroid abuse, or ozoospermia .

Onyo: Acha punyeto ni hatari kwa afya yako na kizazi chako.
 
Kwan uwezo wa sperm Kama zinanguvu ya kutungisha or hazina zinapimwa vipi naomb kufahamu tafadhal??
 
Kwan uwezo wa sperm Kama zinanguvu ya kutungisha or hazina zinapimwa vipi naomb kufahamu tafadhal??
kuna kipimo kinaitwa "semens analysis" ukienda hospital wanajua, yaani unapeleka semens zako halafu wanafanya analysis
 
Pole kwa tatizo, kuna mawili yawezekana unapiga sana punyeto, kwani kupiga punyeto kupita kiasi husababisha zero sperm count. Na kama mchezo huu ufanye basi yawezekana una tatizo la anabolic steroid abuse, or ozoospermia .

Onyo: Acha punyeto ni hatari kwa afya yako na kizazi chako.
punyeto haiwezi sababisa azoopermia hata kidogo soma vizuri notisi zako, kinachosababisha ni aidha kuziba (blockage) au kuharibika (distruction) kwa mrija wa manii (sperm duct) na kingine ni sleeping of testerone hormone. punyeto hupunguza nguvu za kiume (penis strengh) siyo kushusha uwezo wa kutungisha mimba (not to cause low sperm count)you should know this
 
Back
Top Bottom