Msaada jamani

Msaada jamani

kagombe

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2015
Posts
3,615
Reaction score
1,805
wakubwa na wadogo habari zenu kuna jambo linanitatiza naombeni msaada wenu kama mtu figo zake zimeharibika anaitaji figo ata moja. akamilishe matibabu yake unapomtolea tatizo litakua nini kwa mtoaji.alafu kisheria sio kosa nategemea majibu ya haraka wakuu
 
Unaweza kuishi na figo moja kama una afya njema. Matatizo ni upasuaji na kuuguza kidonda. Kwa mpokeaji transplant procedure ikiisha kuna dawa atapewa za kusaidia cell receptors ku adjust na foreign body.

Madaktari watakueleza vizuri. Wengine hatukufika mbali sana.
 
kidonda kinachukua muda gani mpaka kupona nataka npunguze 1 nipate mtaji au kosa kuuza
 
Unaweza kufanya hivyo halafu ukafa na kuacha pesa zako wengine wazifaidi
Ndo maana nmeuliza tujue umri wake.

Usikute ni Kijana yuko 17--23 sasa anataka kumpa figo demu wake?

Au kawa brainwashed !!!.
 
Dogo nchi yetu kisheria biashara ya viungo ni kosa la jinai.
Inaruhusiwa kumtolea ndugu lakini sio Kwa kuuza.
By the way fanya kazi kwa bidii acha mawazo hayo.Shughuli ziko nyingi kilimo na ufugaji vinalipa
 
Back
Top Bottom