kagombe
JF-Expert Member
- Mar 1, 2015
- 3,615
- 1,805
wakubwa na wadogo habari zenu kuna jambo linanitatiza naombeni msaada wenu kama mtu figo zake zimeharibika anaitaji figo ata moja. akamilishe matibabu yake unapomtolea tatizo litakua nini kwa mtoaji.alafu kisheria sio kosa nategemea majibu ya haraka wakuu