kidonda kinachukua muda gani mpaka kupona nataka npunguze 1 nipate mtaji au kosa kuuzaUnaweza kuishi na figo moja kama una afya njema. Matatizo ni upasuaji na kuuguza kidonda. Kwa mpokeaji transplant procedure ikiisha kuna dawa atapewa za kusaidia cell receptors ku adjust na foreign body.
Madaktari watakueleza vizuri. Wengine hatukufika mbali sana.
Utajiri wa mwanadamu ni afya kwanza na si pesa.kidonda kinachukua muda gani mpaka kupona nataka npunguze 1 nipate mtaji au kosa kuuza
Unaweza kufanya hivyo halafu ukafa na kuacha pesa zako wengine wazifaidikidonda kinachukua muda gani mpaka kupona nataka npunguze 1 nipate mtaji au kosa kuuza
Ndo maana nmeuliza tujue umri wake.Unaweza kufanya hivyo halafu ukafa na kuacha pesa zako wengine wazifaidi